Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhleta picha
Habari wakuu
Katika pitapita zangu nimekutana na spark plugs za vichwa vitatu na muuzaji anaoni kuwa ni nzuri kuliko za kichea kimoja.
Wataalamu na wazoefu wa Mambo haya naomba kupata uzoefu wenu
Asante I
ThanksWeka spark plug recommended kwa engine yako... The rest ni ubatili.
The only thing unachoweza kubadili ni aina ya material iliyotengeneza hiyo plug... ukatoa plug ya Nickel au Copper ukaweka Iridium.
Zinauzwa gharama... Inategemea tu na gari yako inatumia plug zipi za IridiumThanks
Nimeona spark plugs za iridium ndo Bora zaidi. Je hapa bongo zinapatina kwa bei Gani