King MALILU
New Member
- Oct 13, 2017
- 3
- 4
Nimezipenda kutokana cc zake cc650 vipi kuhusu uimara wake na upatikanaji wa vipuri vyake! Naomba kujuaa uzuri na madhaifu ya hii gari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitegemee confort kwenye gari ya cc 650....hapo lengo ni low cost of runing.Kigoda hiko utarushwa rushwa kama upo kwenye ile samurai!
so!!!!!!!!!!!!!CC 650??????? Hata pikpik ya mdogo wangu ni kubwa CC 1000
Mkuu hakakuchemsha kweli? Manake umbali huo kwa engine ya nusu Lita ni mtihani ati.Kwa speed si kwamba hakana speed mi nishatoka nako dar nikalala mwanza kanakimbia vizuri tu. Tena saa nne nlikuwa mwanza
Unaweza kufafanua kwa nini umeshauri hivyo?Ukiipata kwa bei cheee nunua ila gari iwe in good condition..kwa uoni wangu toyota ni bora zaidi
We jamaa, umenichekesha aiseeCC 650??????? Hata pikpik ya mdogo wangu ni kubwa CC 1000
Mkuu tunaomba mrejesho kuhusu Suzuki kei...bado inapiga mzigo?Kwa speed si kwamba hakana speed mi nishatoka nako dar nikalala mwanza kanakimbia vizuri tu. Tena saa nne nlikuwa mwanza
Hiyo shida ni kwa engine ya kawaida au na yenye turbo?Pulling ni shida, owned that shit for 3 good years