Naomba ushauri kuhusu suzuki Kei

Naomba ushauri kuhusu suzuki Kei

King MALILU

New Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
3
Reaction score
4
Nimezipenda kutokana cc zake cc650 vipi kuhusu uimara wake na upatikanaji wa vipuri vyake! Naomba kujuaa uzuri na madhaifu ya hii gari.
 
Suzuki-Swift.jpg
 
Gari nzuri tu haina shida spare zake zinapatikana kirahisi pia ila zina bei ya juu kidogo tofauti na zile corolla.
 
cc 650, yaani haka kagari huwa kanawekewaga msuli na pikipiki za boxer BM150
 
CC 650??????? Hata pikpik ya mdogo wangu ni kubwa CC 1000
 
Ukiipata kwa bei cheee nunua ila gari iwe in good condition..kwa uoni wangu toyota ni bora zaidi
 
Kwa speed si kwamba hakana speed mi nishatoka nako dar nikalala mwanza kanakimbia vizuri tu. Tena saa nne nlikuwa mwanza
 
Kwa speed si kwamba hakana speed mi nishatoka nako dar nikalala mwanza kanakimbia vizuri tu. Tena saa nne nlikuwa mwanza
Mkuu hakakuchemsha kweli? Manake umbali huo kwa engine ya nusu Lita ni mtihani ati.
 
Back
Top Bottom