Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Thanks a lot! Bara bara ni lami na kipande kidogo cha vumbi.Niliyokuwa nayo ilikuwa ni turbo.
Basically, kama mizunguko yako mingi ni barabara ya lami haina shida na consumption yake iko very fair.
Ila kama ni barabara ngumu, achana nalo
cc 650, yaani haka kagari huwa kanawekewaga msuli na pikipiki za boxer BM150
Binafsi nna swift ya 2002, nilitamani nichukue kei ila kuna uwezekano nikachukua Swift new model miaka michache ijayo.Tafuta swift inafanana na hiyo ila yenyewe ni bora zaidi hasa kwa safari ndefu!
Au chukua Jimny.Binafsi nna swift ya 2002, nilitamani nichukue kei ila kuna uwezekano nikachukua Swift new model miaka michache ijayo.
Ila swift iko poa sana kwenye mafuta halafu haisumbui kabisa.
Yangu inatimiza miaka 10 mwakani.
Nitajitahidi nichukue jimny kwa sababu ni project nitakayofanya mwakani mwishoni