Naomba ushauri kuhusu suzuki Kei

Naomba ushauri kuhusu suzuki Kei

Tafuta swift inafanana na hiyo ila yenyewe ni bora zaidi hasa kwa safari ndefu!
 
Tafuta swift inafanana na hiyo ila yenyewe ni bora zaidi hasa kwa safari ndefu!
Binafsi nna swift ya 2002, nilitamani nichukue kei ila kuna uwezekano nikachukua Swift new model miaka michache ijayo.
Ila swift iko poa sana kwenye mafuta halafu haisumbui kabisa.
Yangu inatimiza miaka 10 mwakani.
 
Back
Top Bottom