wakuu kwema? jamani nahitaji ushauri juu ya hizi ndinga, nataka kuichukua,mwenye uzoefu naomba anipe ushauri anazionaje? itanifaa kwa misele ya mjini na vijijini?naihitaji as a family car...but nataka niwe na uhakika wa safari incase natakiwa nisafiri sio mawazo tena yawe lukuki..