Naomba ushauri kuhusu Toyota surf ssr-v the navigators

Naomba ushauri kuhusu Toyota surf ssr-v the navigators

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
wakuu kwema? jamani nahitaji ushauri juu ya hizi ndinga, nataka kuichukua,mwenye uzoefu naomba anipe ushauri anazionaje? itanifaa kwa misele ya mjini na vijijini?naihitaji as a family car...but nataka niwe na uhakika wa safari incase natakiwa nisafiri sio mawazo tena yawe lukuki..
 
Nunua za kuanzia 2004 na kuendelea TRN215 au KD215 usijenununua za chini ya hapo
 
Back
Top Bottom