Hii tenda ungewapa wana JF wenzako ingependeza.Habari wadau!
Mimi ni transport Manager wa shule moja hapa nchini,tunahitaji Magari mengi madogo na makwa kwajili ya kubeba wanafunzi,
Swali langu kati ya hizi nchi mbili wapi nitapata Magari yenye ubora kwa bei rahisi?
1.South Africa
2.Japan
KUHUSU MAKAMPUNI YA UGAIZAJI.
Tunataka hii kazi tuwape Makampuni ya wazawa hapa nchi ambayo yana connection za uagizaji,ni kampunigani the best tuwape kazi?
1.Yakwetu motors
2.Digxam
3.AV Magari
Nimepita lakini bado ushauri wako ni muhimu sana kwangu.Kwaiyo manager umeshindwa kutembelea izo kampuni zote wakupe consultancy? Ili na wewe ujue hipi ni bora
Wewe Kama mfanya biashara nilitegemea kigezo Kikubwa kiwe value for money. Sasa hapa naona issues za uzawa! Good luck!Habari wadau!
Mimi ni transport Manager wa shule moja hapa nchini,tunahitaji Magari mengi madogo na makwa kwajili ya kubeba wanafunzi.
Swali langu kati ya hizi nchi mbili wapi nitapata Magari yenye ubora kwa bei rahisi?
1. South Africa
2. Japan
KUHUSU MAKAMPUNI YA UGAIZAJI.
Tunataka hii kazi tuwape Makampuni ya wazawa hapa nchi ambayo yana connection za uagizaji,ni kampunigani the best tuwape kazi?
1. Yakwetu motors
2. Digxam
3. AV Magari
Unapataje value ya pesa bila kuinua wazawa ambao wametuinua hadi shule ikafika hapa ilipo,nimepita kwenye kampuni za uuzaji wa Magari wengi ni wageni,unashauri niangali value ya pesa kwakuwainu wageni na kuwaacha wazawa ambao wametuinua sisi au?Wewe Kama mfanya biashara nilitegemea kigezo Kikubwa kiwe value for money. Sasa hapa naona issues za uzawa! Good luck!
Ushauri wako ni muhimu sana kama umewai agiza Gari,All the Best
Dili nzuri hii mkuu nakucheki Pm tuzungumze vizuri.TUNAHITAJI TOYOTA COASTER 5
NISSAN CIVILIAN 3
TOYOTA HIACE 2
NISSAN CALAVAN 3
Bei gani @ GARI?
Hapo Chukua Toyota Coaster zenye engine ya 14B kama mtakuwa na safari ndefu au tour na wanafunzi Coaster 2 nunueni zenye engine ya 1hd fte, NO4C.TUNAHITAJI TOYOTA COASTER 5
NISSAN CIVILIAN 3
TOYOTA HIACE 2
NISSAN CALAVAN 3
Bei gani @ GARI?
Kwa South Africa hakuna Toyota Coaster na Nissan Civilian.TUNAHITAJI TOYOTA COASTER 5
NISSAN CIVILIAN 3
TOYOTA HIACE 2
NISSAN CALAVAN 3
Bei gani @ GARI?
Asante South Africa naitoa kwenye hesabu.Kwa South Africa hakuna Toyota Coaster na Nissan Civilian.
South Africa utapata Toyota Hiace Quantum za kuanzia 2010 kuja juuzinakuja na engine za petrol (1TR,2TR,3RZ) na diesel (1Kd,2kd,1gd,2gd).Bei yake inacheza kuanzia 40m na kuendelea kulingana na mwaka
Nissan Caravan, South Africa wao wanaita Nissan Nv300 (Impendulo) hizi nyingi zipo za diesel zenye engine ya zd30 na miaka ya karibuni wanatumia Engine ya Yd25 hii kama ya kwenye Nissan Hardbody na Navara. Bei nazo zinaanzia 35m
Tumeisha kaa kikao nakupitisha haya Magri ningungu kuitisha tena kikao kingine kwajili ya kupangua maamuzi ya mwanzo.Hapo Chukua Toyota Coaster zenye engine ya 14B kama mtakuwa na safari ndefu au tour na wanafunzi Coaster 2 nunueni zenye engine ya 1hd fte, NO4C.
Msichanganye brand Toyota na Nissan, ukiwa na brand moja ni rahisi kumanage fleet ya gari zako kuanzia kununua spare,ufundi na running cost.
Nissan Civilian bei saizi inalingana na Toyota Coaster, Nissan Civilian W41 (mayai) kama utachukua kwa shunting za kubeba watoto chukua yenye engine ya Zd30 au Td42, engine ya 4m51 achana nayo haitokuwa rafiki kwa kazi zako. Kama utakuwa na madereva wazuri na mafundi makini ukipata Zd30 engine hii itakuwa faida kwako ina fuel consumption nzuri sana.
Hili dili liko wazi njoo tujadili hapa jamvini mkuu.Dili nzuri hii mkuu nakucheki Pm tuzungumze vizuri.
sasa kumbe umeshafika hatua hiyo hapo si bado kubargain tu price ulipieTumeisha kaa kikao nakupitisha haya Magri ningungu kuitisha tena kikao kingine kwajili ya kupangua maamuzi ya mwanzo.
Digxam walisema watatupatia Magari yenye Engine za 1HZ upande wa Coaster na Nissan Civilian Engine ya TD4.2 yatakuja na rangi na logo ya shule, Pia bei zinatofautiana kwakiasi kikubwa nikilinganisha na uchambuzi wako hapo juu ,pia wata delivery hadi Mzigo ufike Dar Bandarini kisha tukague nakulipa pesa yao vipi hizo Engine zinachangamoto gani kama unazijua?
Mkuu nimegundua deal iko mwishoni sana ushapata mpk supplier, kazi imeisha.Hili dili liko wazi njoo tujadili hapa jamvini mkuu.
Usiitoe kwenye Hesabu, South Africa hizo Hiace (Nissan na Toyota) ndio nyingi na bei ni rafiki kuzidi Japan.Asante South Africa naitoa kwenye hesabu.
Sawa, mmeamua kuchanganya brand za Toyota na Nissan baada ya kukubaliana kwenye kikao.Tumeisha kaa kikao nakupitisha haya Magri ningungu kuitisha tena kikao kingine kwajili ya kupangua maamuzi ya mwanzo.
Digxam walisema watatupatia Magari yenye Engine za 1HZ upande wa Coaster na Nissan Civilian Engine ya TD4.2 yatakuja na rangi na logo ya shule, Pia bei zinatofautiana kwakiasi kikubwa nikilinganisha na uchambuzi wako hapo juu ,pia wata delivery hadi Mzigo ufike Dar Bandarini kisha tukague nakulipa pesa yao vipi hizo Engine zinachangamoto gani kama unazijua?
Huyo Supplier wenu katumia kigezo kipi cha kuwapa Coaster yenye Engine ya 1hz. Wakati nyie hamuendi kufanya heavy duty trips. Kazi yenu ya kubeba wanafunzi Engine za 13B na 14B zingewafaa zaidi sababu zipo economy kuzidi 1hz na Running Cost ni ndogo.Tumeisha kaa kikao nakupitisha haya Magri ningungu kuitisha tena kikao kingine kwajili ya kupangua maamuzi ya mwanzo.