Naomba ushauri kuhusu uagizaji magari kutoa Japan au Afrika Kusini

Naomba ushauri kuhusu uagizaji magari kutoa Japan au Afrika Kusini

Hii tenda ungewapa wana JF wenzako ingependeza.
Wana JF sindio hawa, wote wana account zao hapa JF inaweka usiwajue lakini wapo hapa kitambo.
1. Yakwetu motors
2. Digxam
3. AV Magari
 
Spare zake hapa zipo?
Spare zipo, Engine inashare na Hilux,Prado. Hilo jina la Quantum ni kwa ajili ya soko Lao, wao Nissan Caravan/Urvan NV300 wanaziita Impendulo.
Screenshot_20241103_000504_Gallery.jpg

Hiyo Hiace na Nissan Pichani zinazalishwa South Africa, wao wanatumia kama Taxi(daladala)
 
Back
Top Bottom