Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna mzee mmoja wakati wa ujana wake alikuwa Diwani.Umeshaoa bila ya kupanga. Sasa huyu unadhani ni nani atakuja kumuoa kamanda Mana umeshashusha thamani yake ,namie humu ndani napiga kelele kuwa wanaume your bikra tupu.
Hapa inabidi uoe. Ungetumia Kinga ama ukomae mpaka upate wa kwako mkuu.
Mwenzako atakuja kuishi pekee na watt hawana baba , atakuja kuja humu baada ya miaka kumi anadai kuwa ana watt watatu ,Yuko late 30s anataka mwanaume responsible amuoe ,akiwa na watt ni sawa ilimradi Naye apate Ile feelings ya kuwa na mme.
Hapa muoe hakuna namna bana.yaani mpaka umemzalisha. Waza angekuwa ni binti yako ama dada ama mdogo wako akafanyiwa ivyo na jemba Halafu linamuacha. Ulikosea kut0mba Bora ungetiiiiia Malaya Maisha yakasogea na ulimwagia ndani ni nani Tena aje kumwagia humo humo ulipomwagia na ukija kuwa unakutana Naye anakuletea watt uwasalimie lazima mtapasha. Kama uko tayari kuoa mke wa namna iyo na wewe basi umuache Kama hauko tayAri basi na huyo usimuache. tayAri akishakuzalia ishi Naye haya Maisha yetu ni mafupi. Furaha ni illusion haipo ni sawa na kesho hutoiona Kesho.
Yaani nimekomaa humu weee kuwa type bikra kumbe wewe mwenyewe ama sie wenyewe ndio tunaowaharibu wanawake. Na nyie msitoe kkk zenu mpaka mwanaume aje kwenu ajitambulishe afuate taratibu akuone, ama tumia p2 utaharibu napo kizazi
Alikiwa anaoa na kuacha na kuzalisha nje kama njugu.
Saaa amegonga 65.
Watoto wake wa kike wanne wameolewa na kuachwa na kuzalishwa hovyo.
Kuna Wengine wawili wanuza hadi Tigo na mzee anajua.
Mzee yuko kwenye hali ya Jakamoyo( Depression)
Hii ni Karma.
Kumzalisha mtoto wa watu huku inamdanganya utamuoa harafu hnamwacha kiasili huyu umemharibia Maisha yake yoote
e hato kaa apate raha.
Umemchafua kwenye jamii, akitaka kuolewa anapata wagane tu au wenye wake tayari.
Umemtia nuksi.