Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Kuna mzee mmoja wakati wa ujana wake alikuwa Diwani.

Alikiwa anaoa na kuacha na kuzalisha nje kama njugu.

Saaa amegonga 65.

Watoto wake wa kike wanne wameolewa na kuachwa na kuzalishwa hovyo.

Kuna Wengine wawili wanuza hadi Tigo na mzee anajua.

Mzee yuko kwenye hali ya Jakamoyo( Depression)

Hii ni Karma.

Kumzalisha mtoto wa watu huku inamdanganya utamuoa harafu hnamwacha kiasili huyu umemharibia Maisha yake yoote
e hato kaa apate raha.
Umemchafua kwenye jamii, akitaka kuolewa anapata wagane tu au wenye wake tayari.

Umemtia nuksi.
 
Hakuna sheria inayomlazimisha,hata mimi sijaandika kitu kama sheria
Unaweza pia kumshauri wewe kwa namna unayoona ni sawa 'kisheria' kama unavyodai....hili ni jukwaa,ameweka uzi na atarajie kupata kila aina ya ushauri na maoni

Hata hivyo,sijamlaumu tu....nimempa na ushauri,labda kama hujasoma nilichoandika na kukielewa
 
Kuna mmoja alilazimishwa kuoa binti wa watu wakiwa wanasoma anampa mimba anatoa akazitoa akatoa mpaka kizazi ujue ,so ikabidi aishi Naye tu hakuna namna
 
Ila umalaya mbaya,mi kuna mwanamke pia leo kaniambia ana mimba yangu,na kutoa hataki maana kwao watu wa dini,kimbembe mi nna mke wangu na ni mtata balaa,nawaza akipata taarifa patanuka home, na ukichukulia mwanamke wenyewe alishawai kuwa mpangaji wangu miaka mitatu ilyopita,

Dah aisee hizi zakari zinatuletea majanga
 
π»π΄β„Žπ‘Žβ„Žπ‘Ž
πΎπ‘’π‘šπ‘π‘’ π‘ π‘–π‘˜π‘œ π‘π‘’π‘˜π‘’ π‘Žπ‘›π‘”π‘’
 
vijana mna shida ganii?[emoji34] kila wakati tunawaelekezeni kama hutaki kuzaa na binti ila unapenda ngono tu vaa condom[emoji34], mnapenda upumbavu kufata hisia huku hamtaki majukumu, ndio maana mnakomolewa.

anyway, huyo hana mimba wala nini, kakuambia hivo cas anataka uishi nae na wewe hutaki, hivo mimba ni very easy technique ya kukufanya ukubali, unless kweli umeiona imekua

mwambie mkapime wote,,if yes mchukue uishi nae, ndio wako tena huyo, si uliyataka mwenyewe, PUMBAVU[emoji34]
 
π»π΄β„Žπ‘Žβ„Žπ‘Ž
π‘€π‘˜π‘’π‘’ β„Žπ‘’π‘¦π‘’ π‘ π‘–π‘—π‘Žπ‘šπ‘‘π‘Žπ‘›π‘”π‘Žπ‘›π‘¦π‘Ž π‘›π‘‘π‘Žπ‘šπ‘’π‘œπ‘Ž
π‘π‘–π‘šπ‘’π‘ β„Žπ‘Žπ‘šπ‘€π‘Žπ‘šπ‘π‘–π‘Ž π‘§π‘Žπ‘–π‘‘π‘– π‘¦π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘Ÿπ‘Ž 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑔𝑖 π‘šπ‘–π‘šπ‘– 𝑠𝑖𝑀𝑒𝑧𝑖 π‘˜π‘’π‘–π‘ β„Žπ‘– π‘›π‘Žπ‘’ π‘›π‘Ž β„Žπ‘Žπ‘‘π‘Ž β„Žπ‘–π‘– π‘šπ‘–π‘šπ‘π‘Ž π‘¦π‘Ž 𝑝𝑖𝑙𝑖 π‘›π‘Žπ‘œπ‘›π‘Ž π‘˜π‘Žπ‘π‘–π‘ π‘Ž π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘˜π‘Žπ‘–π‘™π‘Žπ‘§π‘–π‘šπ‘–π‘ β„Žπ‘Ž 𝑦𝑒𝑦𝑒
 
π»π΄β„Žπ‘Žβ„Žπ‘Ž
πΎπ‘’π‘šπ‘π‘’ π‘ π‘–π‘˜π‘œ π‘π‘’π‘˜π‘’ π‘Žπ‘›π‘”π‘’
Ni noma mkuu!
 
Akili huna kwnz unataka kufanya abortion jamani watu wa ustawi wa Jamii hampo humu kazi yenu ni nini? Mali yenu hiyo imekuja kichwakichwa wekeni ndani ikanyee ndoo
 
Ushauri wangu; kama amegoma kutoa mimba basi ana jambo lake huyo, hapo cha kufanya hama hapo unapoishi halafu mkaushie kinamna. Utamtafuta utakapojisikia tena wakati wa kutoa matumizi ya mtoto baaas!
 
Kabisa Mkuu.....wanaume tumekuwa mashetani.

Yaani tunajari hisia zetu tu za nyenge na kuacha madhara makubwa tunayowasababishia Hawa wanawake.
 
Mkeo mtata, yaani anakutawala!

Majumba haya yanaficha siri nyingi sana!

Kutoa mimba ni dhambi isiyostahili kujadiliwa.

Wewe kama umemtia, mwache azae umhudumie na mwanaye.

Kwani analazimisha umuoe?

Akizaa na ukishajiridhisha kuwa huyo kiumbe ni mwanao, hapo mkeo lazima umjulishe bila kujali ata react namna gani, kumficha issue kama hiyo ndiyo msala, siku moja utachezea kisago.
 
Alikubaka hadi useme kalazimisha yeye? Kwa upande wake anakupenda. Licha ya hayo mapungufu ambayo unayaona kwake.
 
Umelikoroga ndugu yangu.

Huyo anakwwmbia ana dini sana huku umembandua akijua una mke ana dini gani hapo?
 
𝐴𝑠𝑠𝑛
Ushauri wangu; kama amegoma kutoa mimba basi ana jambo lake huyo, hapo cha kufanya hama hapo unapoishi halafu mkaushie kinamna. Utamtafuta utakapojisikia tena wakati wa kutoa matumizi ya mtoto baaas
 
πΆβ„Žπ‘Žπ‘›π‘”π‘Žπ‘šπ‘œπ‘‘π‘œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…