Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

CCM ni Ile Ile CCM ni Ile Ile, umeipenda menyewe, ntuntu, ukaitaka mwenywe ntuntu acha uisome namba eeh Fisiem mbele mbele, πŸ₯Ά

Pole sana mkuu
 
𝐢𝐢𝑀 π‘–π‘šπ‘’π‘–π‘›π‘”π‘–π‘Žπ‘—π‘’ π‘ π‘Žπ‘ π‘Ž π‘˜π‘€π‘’π‘›π‘¦π‘’ π‘šπ‘Žπ‘ π‘€π‘Žπ‘™π‘Ž π‘¦π‘Ž π‘šπ‘Žβ„Žπ‘’π‘ π‘–π‘Žπ‘›π‘œ π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž β„Žπ‘’π‘›π‘Ž π‘β„Žπ‘Ž π‘˜π‘’π‘ β„Žπ‘Žπ‘’π‘Ÿπ‘– 𝑠𝑖 π‘π‘œπ‘Ÿπ‘Ž π‘’π‘™π‘Žπ‘™π‘’

CCM ni Ile Ile CCM ni Ile Ile, umeipenda menyewe, ntuntu, ukaitaka mwenywe ntuntu acha uisome namba eeh Fisiem mbele mbele, πŸ₯Ά

Pole sana mkuu
π‘€π‘šπ‘€
 
Ccm ndio inayowatia ujingaπŸ˜…πŸ˜…
 
Kabisa Mkuu.....wanaume tumekuwa mashetani.

Yaani tunajari hisia zetu tu za nyenge na kuacha madhara makubwa tunayowasababishia Hawa wanawake.
Na Mzee wangu alivyokua Mjuvi wa hizi mambo aliongezea kwa kusema kua wanaume ni viumbe wabinafsi sana,hua twajiangalia sisi tu sio madhara ambayo yatatoke kipindi ambacho umetengana na mwenzio,ila kumbuka kuna watoto wanahitaji malezi ya baba na nk,ila kwakua wewe moyo wako una amani baada ya kuachana na huyu Mama watoto,basi huwazi hata hivyo viumbe vingine.......

Katika tu akili ya kawaida ,wewe ndio una shida,kwani mpaka mimba ya pili inaingia ,means mtoto wa kwanza ama umri wa 2 years+,usituambie kua hukujua mapungufu ya bibie..... Namuunga mkono kabisa jamaa alosema umepata hela kwa sasa,hebu mtoa mada naomba mbinu ulizotumia kumpata huyo Kimwali wa Kimakonde,pamoja na mauno yote yale le unamuaundress?
 
Tatizo mnakuwa na haraka ya kuoa bila kufanyiana deep assessment, ona sasa madhara yake.
Kamwe usikubali kichwa cha chini kikaizidi akili kichwa cha juu.
Uko Sahihi, Sana.
Mi nilimpenda single Mather,s ana Watoto 3, Lakini mwamba nikampenda, Nimejenga mpaka nyumba kwa ajiri yake ila mapicha picha alizonionyesha yaani... Imebidi niwe mpole( swala la nyumba likabaki moyoni mwangu)
 
You just drop her, and you drop her fast!!
 
"Au hukujua kwamba kavu italeta mimba"

Huo ni mstari katika wimbo wa stamina ft Prof jay.

Magufuli aliwahi kuomba achezewe kibao hiki alipotembelea uhuru media.

Kumbe hata ikulu wanaangaliaga TV stations za kawaida za kibongo bhana.

Unaeza kukuta saiz Ayatollah ametulia anaangalia SULTAN AZAM TV
 
Mpangie room weka kila kitu mtoe kwao, na uhudumie hiyo familia yako.
 
Sikia mleta mada, hata kama angekuwa na mimba 6 suala la kuoa ni hiari ya mwanaume. Hapo hakuna kesi wala nini mazee, usitishwe na mtu yeyote.

Mwambie humuoi, aendelee kuishi kwao. Hizo mimba zimeingia wakati unatoa upwiru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…