Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Acha utoto una stress ya nini sasa hapo na mtu hamjaoana?

We piga kimya ikiwezekana potea kabisa asijue hata ulipo, utarudi bdae sana kama unamtaka uyo mtoto
 
Maisha sio ndoto ni hatima,Kuwa makini na machaguo yako.

Kabla ya kujifikilia wewe anza kwanza kumfikiria mtoto wako uliezaa na huyo mama. Maana unaanza kumuharibia kesho yake mapema sanaa.
Baki na mzazi mwenzio mtengeneze awe unavyotaka wewe awe.
 
Alikwambia nani kwamba hustler ni mtu asie na kipato kikubwa?
 
Vijana wengi wanachukulia rahisi rahisi haya mambo. Ambavyo Kuna uhaba wa ndoa hivi halafu useme tu eeti hutaki kumuoa ila umemzalisha...
Wafwa
 
Mimba ya pili sio yako kua makini kwa nn akwambie baadaw ya mwez au miez mi nne uskute baba mtoto kamkataa ndo last option ukawa wew any way kitanda akizai haramu
𝐾𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑖 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑏𝑎𝑠𝑖 ℎ𝑎𝑙𝑖 𝑖𝑡𝑎𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑚𝑏𝑎𝑦𝑎 𝑧𝑎𝑖𝑑𝑖
Mpangie room weka kila kitu mtoe kwao, na uhudumie hiyo familia yako.
hapo umenena kaka
 
Vijana wengi wanachukulia rahisi rahisi haya mambo. Ambavyo Kuna uhaba wa ndoa hivi halafu useme tu eeti hutaki kumuoa ila umemzalisha...
Wafwa
anachukulia poa poa tu! hapo hayupo salama..hilo ni bomu kubwa sana kwenye maisha yake.
Ogopa sana kiumbe kinachoitwa mwanamke sio dhaifu kama tunavyowachukulia.
Wanawake wengi kwa Ulozi ndio siraha yao kuu na usipokaa sawa itamtesa maisha yake yote.

NB; Kuna kijana mmoja alikua anatoa ushuhuda kuna binti alikua nae kwenye mahusiano kwa miaka 3 hivi kwamwaidi vitu vingi sana vya NDOA kuwa atamwoa. Gafla jamaa akabadili gia angani akamwacha mara yule binti anakuja kusikia jamaa ana mtu mwingine.
Sasa kumbe yule binti Bibi yake ni Mganga Aiseeh jamaa alilogwa kukawa kuna kama wadudu wanatoka kwenye Penis na Usaha...hiyo hali imemtesa kwa miaka 2 kahangaika sehemu nying kwa waganga na makanisani ila akaja kupata mtumishi wa kweli wa Mungu ndio akamwambia chanzo cha tatizo lake na huyo dada. Ndipo alitubu na akapata Deliverance akapona.

Acha kabisa mambo ya hawa wanawake..ndo maana huwa namshangaa mtu ana wanawake wengi anawachezezea chezea tu..ni hatari kuliko tunavyofikiria
 
Hii ndio point ya msingi
 
Uwo ni mzgo wako jiandae kubeba mke
Umpendi ila kusex nae bado unataka wanaume bana sometime tunakuaga km wajinga

Swali la kizushi iv kwel ata unajua ulichoandika
Huna future na mtu tumia kondomu ushauri wa bure kwa wote wenye tabia km zako
 
Pole sana mkuu. Ulijichanganya ulipoipiga dry wakati amekuletea. Yeye alikuja kimkakati kwako.
Japo pia usishangae ikawa sio mimba yako.
 
Hivi kwa mwanamke ambaye umemzalisha ,mkaishi pamoja mkashindwana akaenda kuishi kwao. Mboo inadinda vipi ilhali hakuna feeling naye? Binafsi yangu singeweza kumtomba tena huyo mwanamke.

Kwakuwa umeshalikanyaga huna namna zaidi ya kuishi naye tu, vinginevyo utajua hujui.

B.T.W alipokuja kukutegeshea Quuma kwa kisingizio cha kukuletea mtoto umsalimie ukajaa mazima tena pekupeku bila hata kinga, mlipima kwanza magonjwa? au ndio ulivoona maQu akili yote ikahamia kwenye kichwa cha mborlo!!?
 
Huu uzi unatia hasira sana, unastahili viboko kijana. Yaan umpe mimba ya pili then akaishi kwao ulee watoto tu. Tufanye mtoto wa kwanza ni kosa ndo maan hata wazaz wake walikubali yaishe, hii ya pili tena halafu unasingizia siyo mwanamke wa ndoto zako ila ni mwanamke wa nyege zako siyo?


Anyway, utoto mwingi sana. Pili nashanga sana mwanaume kabisa eti unasema hataki kutoka kwangu, kuna maamuzi nikiyaamua hakuna wa kuyazuia
 
sawa mkuu
 

Pumbavu
 
Aiswe hapa kazi unayo mkuu
 
Apambane haswa huo mda aliotuandikia ma italic ungetosha kabisa kuanza kumpenda mama wawili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…