Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Ukae nae mbali na uwe makini la sivyo hutajua ni lini ulibadili mawazo na kumuoa.
Utakuja kutambua badae dawa zikiisha mwilini.
Wanawake wa siku wamezidi kwa kuroga wanaume.
Hadi wasichana wadogo.
Hata wanaume za Watu wanarogwa mno.
 
𝐼𝑘𝑜 ℎ𝑖𝑣𝑖𝑖, 𝐾𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑛𝑜𝑤 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑖𝑤𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑘𝑎𝑑ℎ𝑎𝑎, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑢𝑙𝑖𝑗𝑎𝑟𝑖𝑏𝑢 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑝𝑎𝑚𝑜𝑗𝑎 𝑖𝑙𝑒 𝑠𝑜𝑔𝑒𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑒 𝑖𝑙𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑖𝑢𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑜𝑣𝑒 𝑛𝑎𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑚𝑢𝑜𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑛𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑤𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢

𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑗𝑒𝑢𝑟𝑖 , 𝑝𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑖 𝑚𝑡𝑢 𝑤𝑎 𝑣𝑖𝑠𝑎𝑠𝑖 𝑐ℎ𝑜𝑐ℎ𝑜𝑡𝑒 𝑢𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑚𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑧𝑎 𝑘𝑢 𝑟𝑒𝑣𝑒𝑛𝑔𝑒, 𝑛𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑝𝑜𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑢𝑘𝑖𝑚𝑢𝑒𝑙𝑒𝑘𝑒𝑧𝑎 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑢𝑛𝑢𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑚𝑢𝑑𝑎 ℎ𝑢𝑜.

𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑎𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑖𝑘𝑎𝑏𝑎𝑘𝑖 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑤𝑎𝑠𝑖𝑙𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑘𝑢ℎ𝑢𝑠𝑢 𝑚𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑧𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑘𝑤𝑎𝑜 , 𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑎𝑙𝑖𝑚𝑙𝑒𝑡𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑛𝑖𝑚𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑒 𝑚𝑖𝑚𝑖

𝑀𝑖𝑚𝑖 𝑛𝑖𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑟𝑖𝑘𝑖 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑒𝑛𝑑𝑜, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑛𝑎 𝑘𝑎𝑔𝑜𝑚𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑎 ℎ𝑎𝑑𝑖 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑖𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑚𝑖𝑛𝑛𝑒 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑤𝑎𝑘𝑖𝑗𝑢𝑎 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑚𝑓𝑢𝑘𝑢𝑧𝑎 𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑒 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑖𝑠𝑠𝑢𝑒 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑛𝑎𝑒 , 𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑒𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑛𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖

𝐽𝑒 𝑛𝑖𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒𝑗𝑒, 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑒𝑛𝑖 𝑢𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑚 𝑓𝑢𝑙𝑙𝑦 𝑜𝑓 𝑠𝑡𝑟𝑒𝑠𝑠
𝑝𝑖𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑧𝑖𝑛𝑔𝑎𝑡𝑖𝑎 𝑘𝑖𝑝𝑎𝑡𝑜 𝑐ℎ𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑠𝑖 𝑘𝑖𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑠𝑡𝑙𝑒𝑟 𝑡𝑢
Mtoto wa kike au kiume?
Jiepushe mapema usije kufa kwa presha ila kaa ukijua kama wa kike huenda ipo siku kuna kajamaa katakuwa kamefungua thread kakisema kuwa kamezaa na binti ambaye ni binti yako ila hakataki kuishi naye.
Nakuelewa maana hata mimi single father yalinishinda nikaona tubaki kuwa wazazi wenza.
 
Mkuu we sail on the same ship,tofauti ni kuwa mi tayari nshamzoea tu,jeuri na kiburi kila mwanamke anavyo akishakuzoea na hasa akipunguza au kuona anaweza kurun maisha yake bila wewe,hiyo isikuumize kichwa.
Mimba ya kwanza nilikataa ila mtoto alipozaliwa ni cha kiume asee kitoto kizuri balaa,mengine yaliyoendelea mungu ndo anajua...kuna muda tuligombana san akiwa kwao ile tumepatana akaforce aje kwangu,alikuja mwezi mmoja badae nkaanz kuona mabadlko kumbe ana mimba bhana,nlimuuliza ni ya nani akasema yangu skukaza sana ila nkamuomba atoe alikataa katakata,nilijaribu kumweleza hali yangu na jinsi jamii itakavyomchukulia ila hakujali,akili yake anawaza katoto ka kike tu..hapo wa kwanza ana miaka miwili na miezi kadhaa asee nilichoka sabu nilkua mwaka wa mwisho chuo na sina chchote..kama kawaid mimi nina utaratibu mmoja,kama demu nmemwaga ndani huwaga skatai waga nasubiri mtoto azaliwe,to cut story alijifungua mtoto wa kike now ana 7_8 month yupo kwao..now nina 27 tyr nina 2 kids,to be honesty mwanamke ni mpambanaji balaa na ni wife material aswa..

Nini nataka kukuambia
Hakuna haja ya kukataa wala kukimbia mimba kubali na hudumia kwa kiasi,mpe tumaini kuwa utamfata hapo nyumbani,then yote anafanya sabu ys pressure ya wazazi na malezi ila watoto wakishakuwa wala awatakua na habari naww,so focus na unachofanya na jijenge.
 
𝐼𝑘𝑜 ℎ𝑖𝑣𝑖𝑖, 𝐾𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑛𝑜𝑤 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑖𝑤𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑘𝑎𝑑ℎ𝑎𝑎, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑢𝑙𝑖𝑗𝑎𝑟𝑖𝑏𝑢 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑝𝑎𝑚𝑜𝑗𝑎 𝑖𝑙𝑒 𝑠𝑜𝑔𝑒𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑒 𝑖𝑙𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑖𝑢𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑜𝑣𝑒 𝑛𝑎𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑚𝑢𝑜𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑛𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑤𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢

𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑗𝑒𝑢𝑟𝑖 , 𝑝𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑖 𝑚𝑡𝑢 𝑤𝑎 𝑣𝑖𝑠𝑎𝑠𝑖 𝑐ℎ𝑜𝑐ℎ𝑜𝑡𝑒 𝑢𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑚𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑧𝑎 𝑘𝑢 𝑟𝑒𝑣𝑒𝑛𝑔𝑒, 𝑛𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑝𝑜𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑢𝑘𝑖𝑚𝑢𝑒𝑙𝑒𝑘𝑒𝑧𝑎 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑢𝑛𝑢𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑚𝑢𝑑𝑎 ℎ𝑢𝑜.

𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑎𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑖𝑘𝑎𝑏𝑎𝑘𝑖 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑤𝑎𝑠𝑖𝑙𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑘𝑢ℎ𝑢𝑠𝑢 𝑚𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑧𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑘𝑤𝑎𝑜 , 𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑎𝑙𝑖𝑚𝑙𝑒𝑡𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑛𝑖𝑚𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑒 𝑚𝑖𝑚𝑖

𝑀𝑖𝑚𝑖 𝑛𝑖𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑟𝑖𝑘𝑖 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑒𝑛𝑑𝑜, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑛𝑎 𝑘𝑎𝑔𝑜𝑚𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑎 ℎ𝑎𝑑𝑖 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑖𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑚𝑖𝑛𝑛𝑒 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑤𝑎𝑘𝑖𝑗𝑢𝑎 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑚𝑓𝑢𝑘𝑢𝑧𝑎 𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑒 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑖𝑠𝑠𝑢𝑒 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑛𝑎𝑒 , 𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑒𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑛𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖

𝐽𝑒 𝑛𝑖𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒𝑗𝑒, 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑒𝑛𝑖 𝑢𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑚 𝑓𝑢𝑙𝑙𝑦 𝑜𝑓 𝑠𝑡𝑟𝑒𝑠𝑠
𝑝𝑖𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑧𝑖𝑛𝑔𝑎𝑡𝑖𝑎 𝑘𝑖𝑝𝑎𝑡𝑜 𝑐ℎ𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑠𝑖 𝑘𝑖𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑠𝑡𝑙𝑒𝑟 𝑡𝑢
Una bahati sana kijana, umepata watoto wawili kabla ya ndoa?
Asikutishe kwanza hiyo mimba siyo yako alikuja kukubàmbikia tuu. Mwambie ajifungue kwanza mkapime DÑA. Kama mtoto ni wako mtapanga namna kuishi mbalimbali.
Zingatia KATAA NDOA.
 
Ukiona haupo tayari kuwa committed kimahusiano na mtu fulani jitahidi kutumia condom....huu ni ushauri kwa ambao bado hawajayakoroga
Mtasaidia kupunguza idadi ya single mamaz,abortions pia

Kwako wewe mleta mada,hilo zigo ni lako ulishaona tangu mtoto wa kwanza huwezani nae...kilichokufanya umkaze mara ya pili kavu iko wazi una malengo nae

Pambana.
Mwanamke kama humtaki hata ukimuoa hamuwezi kudumu nae zaidi ya kupigizana makelele, mangumi na vituko vya Kila namna Kila siku.

Heri atemane nae, heri amuache mapema tuu aepukane na kadhia kama hizo.

Kumpa mtu mimba sio lazma umuoe na Wala sio tiketi ya kuoa, mimba nyingine ni za mtego tuu.

Akae Kwa kutulia achunguze mwanamke mwingine wa kuoa, aoe aweke ndani, wanawake wenye tabia nzuri wanaostaili kuitwa wake wapo wengi tuu.

Watoto wakifikisha miaka kuanzia saba awachukue akawalele pamoja na Watoto atakao kuwa amewazaa na mke wake atakae muoa.
 
𝐶𝐶𝑀 𝑖𝑚𝑒𝑖𝑛𝑔𝑖𝑎𝑗𝑒 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑚𝑎𝑠𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑎ℎ𝑢𝑠𝑖𝑎𝑛𝑜 𝑘𝑎𝑚𝑎 ℎ𝑢𝑛𝑎 𝑐ℎ𝑎 𝑘𝑢𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑠𝑖 𝑏𝑜𝑟𝑎 𝑢𝑙𝑎𝑙𝑒

𝑀𝑚𝑀
Mahusiano yako kama ccm mkuu hauyataki ila ndo uko nayo na yataendelea kuwepo....
 
𝐼𝑘𝑜 ℎ𝑖𝑣𝑖𝑖, 𝐾𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑛𝑜𝑤 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑖𝑤𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑘𝑎𝑑ℎ𝑎𝑎, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑧𝑎𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑢𝑙𝑖𝑗𝑎𝑟𝑖𝑏𝑢 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑝𝑎𝑚𝑜𝑗𝑎 𝑖𝑙𝑒 𝑠𝑜𝑔𝑒𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑒 𝑖𝑙𝑎 𝑡𝑢𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑖𝑢𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑜𝑣𝑒 𝑛𝑎𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑚𝑢𝑜𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑚𝑤𝑎𝑛𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑤𝑎 𝑛𝑑𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢

𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑗𝑒𝑢𝑟𝑖 , 𝑝𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑖 𝑚𝑡𝑢 𝑤𝑎 𝑣𝑖𝑠𝑎𝑠𝑖 𝑐ℎ𝑜𝑐ℎ𝑜𝑡𝑒 𝑢𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑚𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑧𝑎 𝑘𝑢 𝑟𝑒𝑣𝑒𝑛𝑔𝑒, 𝑛𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑝𝑜𝑘𝑜𝑠𝑒𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑢𝑘𝑖𝑚𝑢𝑒𝑙𝑒𝑘𝑒𝑧𝑎 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑢𝑛𝑢𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑎𝑐ℎ𝑜𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑚𝑢𝑑𝑎 ℎ𝑢𝑜.

𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑎𝑐ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑖𝑘𝑎𝑏𝑎𝑘𝑖 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑤𝑎𝑠𝑖𝑙𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑘𝑢ℎ𝑢𝑠𝑢 𝑚𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑧𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑘𝑤𝑎𝑜 , 𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑎𝑙𝑖𝑚𝑙𝑒𝑡𝑎 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑛𝑖𝑚𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑒 𝑚𝑖𝑚𝑖

𝑀𝑖𝑚𝑖 𝑛𝑖𝑘𝑎𝑠ℎ𝑖𝑟𝑖𝑘𝑖 𝑛𝑎𝑒 𝑡𝑒𝑛𝑑𝑜, 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 𝑛𝑎 𝑘𝑎𝑔𝑜𝑚𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑎 ℎ𝑎𝑑𝑖 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑖𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑒𝑧𝑖 𝑚𝑖𝑛𝑛𝑒 𝑎𝑛𝑎𝑛𝑖𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑤𝑎𝑘𝑖𝑗𝑢𝑎 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑚𝑓𝑢𝑘𝑢𝑧𝑎 𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑒 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢 ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑖𝑠𝑠𝑢𝑒 𝑠𝑎𝑏𝑎𝑏𝑢 𝑚𝑖𝑚𝑖 𝑠𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖 𝑘𝑢𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑛𝑎𝑒 , 𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑒𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑜 𝑛𝑖𝑝𝑜 𝑡𝑎𝑦𝑎𝑟𝑖

𝐽𝑒 𝑛𝑖𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒𝑗𝑒, 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑒𝑛𝑖 𝑢𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑚 𝑓𝑢𝑙𝑙𝑦 𝑜𝑓 𝑠𝑡𝑟𝑒𝑠𝑠
𝑝𝑖𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑧𝑖𝑛𝑔𝑎𝑡𝑖𝑎 𝑘𝑖𝑝𝑎𝑡𝑜 𝑐ℎ𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑠𝑖 𝑘𝑖𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑠𝑡𝑙𝑒𝑟 𝑡𝑢
Kama humpendi mtu usimuoe achana nae maana ukilazimisha kumuoa mnaweza leteana majanga tuu,

Chagua kitu ukipendacho kuepusha mtafaruku.

Achana nae, huyo kakutegea mimba makusudi ili umuoe Kwa lazima.

Mwambie kutia mimba mtu sio lazma umuoe na Wala sio kigezo Cha kuolewa.

Tafta mwanamke unaemkubali wewe mwenye tabia nzuri oa. Usije ukamwachia Watoto mazima. Watoto wako wakifikisha miaka kwanzia saba wachukue uwantunze pamoja na Watoto watakao zaliwa na mwanamke utakae muoa.
 
Mkuu we sail on the same ship,tofauti ni kuwa mi tayari nshamzoea tu,jeuri na kiburi kila mwanamke anavyo akishakuzoea na hasa akipunguza au kuona anaweza kurun maisha yake bila wewe,hiyo isikuumize kichwa.
Mimba ya kwanza nilikataa ila mtoto alipozaliwa ni cha kiume asee kitoto kizuri balaa,mengine yaliyoendelea mungu ndo anajua...kuna muda tuligombana san akiwa kwao ile tumepatana akaforce aje kwangu,alikuja mwezi mmoja badae nkaanz kuona mabadlko kumbe ana mimba bhana,nlimuuliza ni ya nani akasema yangu skukaza sana ila nkamuomba atoe alikataa katakata,nilijaribu kumweleza hali yangu na jinsi jamii itakavyomchukulia ila hakujali,akili yake anawaza katoto ka kike tu..hapo wa kwanza ana miaka miwili na miezi kadhaa asee nilichoka sabu nilkua mwaka wa mwisho chuo na sina chchote..kama kawaid mimi nina utaratibu mmoja,kama demu nmemwaga ndani huwaga skatai waga nasubiri mtoto azaliwe,to cut story alijifungua mtoto wa kike now ana 7_8 month yupo kwao..now nina 27 tyr nina 2 kids,to be honesty mwanamke ni mpambanaji balaa na ni wife material aswa..

Nini nataka kukuambia
Hakuna haja ya kukataa wala kukimbia mimba kubali na hudumia kwa kiasi,mpe tumaini kuwa utamfata hapo nyumbani,then yote anafanya sabu ys pressure ya wazazi na malezi ila watoto wakishakuwa wala awatakua na habari naww,so focus na unachofanya na jijenge.
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒖𝒔𝒉𝒂𝒖𝒓𝒊 𝒎𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒂𝒌𝒂 𝒂𝒕𝒍𝒆𝒂𝒔𝒕 𝒖𝒎𝒆𝒗𝒂𝒂 𝒗𝒊𝒂𝒕𝒖 𝒗𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖
 
Ukiona haupo tayari kuwa committed kimahusiano na mtu fulani jitahidi kutumia condom....huu ni ushauri kwa ambao bado hawajayakoroga
Mtasaidia kupunguza idadi ya single mamaz,abortions pia

Kwako wewe mleta mada,hilo zigo ni lako ulishaona tangu mtoto wa kwanza huwezani nae...kilichokufanya umkaze mara ya pili kavu iko wazi una malengo nae

Pambana.
Mtoto Joanah katika ubora wako😂
 
Mleta mada ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi mengi Sana.
Toka mwanzoni ulijua kabisa huyo mwanamke ni mjeuri hawezi kuishi naye na bado ukakaza fuvu ukakojoa ndani ukampa mimba nyingine.

Kwanini unamchezea mtoto Wa watu pamoja na kuharibu maisha ya wanao kwa kukosa malezi ya Baba na mama?

Ukipenda boga na ua lake.Mchukue huyo mwanamke uishi naye melee watoto pamoja.
 
Maisha ya Vijana wengi hasa wa kiume huwa yanaharibiwa na wanawake hawa tunaochukua chukua huku ukiwa huna malengo nae ya kumuoa na unaweza kujutia maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Jitahidi sana kumtafuta Mungu.

Huyo dada ukikaa vibaya anaweza kwenda kukufanyia kitu kibaya sana..hapo unatafuta kurogwa ndugu. Kuna watu humu wamepitia mikasa kama yako na wengi maisha yameharibika sababu ya hilo.

ushauri; Nenda nae taratibu huyo dada huku ukiomba ulinzi na hekima za kiMungu zikuongoze lasivyo utajutia maisha yako. Usishiriki nae tena Tendo.
Hapo kwenye kutoshiriki nae tendo ndio changamoto ilipo maana inaelekea jamaa kashakubali game ya mrembo ndio maana akamwagia mbilea mara ya pili
 
Ukiona haupo tayari kuwa committed kimahusiano na mtu fulani jitahidi kutumia condom....huu ni ushauri kwa ambao bado hawajayakoroga
Mtasaidia kupunguza idadi ya single mamaz,abortions pia

Kwako wewe mleta mada,hilo zigo ni lako ulishaona tangu mtoto wa kwanza huwezani nae...kilichokufanya umkaze mara ya pili kavu iko wazi una malengo nae

Pambana.
M aotombanaga na condom mnaenjoy kweli?
 
Back
Top Bottom