Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Ukae nae mbali na uwe makini la sivyo hutajua ni lini ulibadili mawazo na kumuoa.
Utakuja kutambua badae dawa zikiisha mwilini.
Wanawake wa siku wamezidi kwa kuroga wanaume.
Hadi wasichana wadogo.
Hata wanaume za Watu wanarogwa mno.
 
Mtoto wa kike au kiume?
Jiepushe mapema usije kufa kwa presha ila kaa ukijua kama wa kike huenda ipo siku kuna kajamaa katakuwa kamefungua thread kakisema kuwa kamezaa na binti ambaye ni binti yako ila hakataki kuishi naye.
Nakuelewa maana hata mimi single father yalinishinda nikaona tubaki kuwa wazazi wenza.
 
Mkuu we sail on the same ship,tofauti ni kuwa mi tayari nshamzoea tu,jeuri na kiburi kila mwanamke anavyo akishakuzoea na hasa akipunguza au kuona anaweza kurun maisha yake bila wewe,hiyo isikuumize kichwa.
Mimba ya kwanza nilikataa ila mtoto alipozaliwa ni cha kiume asee kitoto kizuri balaa,mengine yaliyoendelea mungu ndo anajua...kuna muda tuligombana san akiwa kwao ile tumepatana akaforce aje kwangu,alikuja mwezi mmoja badae nkaanz kuona mabadlko kumbe ana mimba bhana,nlimuuliza ni ya nani akasema yangu skukaza sana ila nkamuomba atoe alikataa katakata,nilijaribu kumweleza hali yangu na jinsi jamii itakavyomchukulia ila hakujali,akili yake anawaza katoto ka kike tu..hapo wa kwanza ana miaka miwili na miezi kadhaa asee nilichoka sabu nilkua mwaka wa mwisho chuo na sina chchote..kama kawaid mimi nina utaratibu mmoja,kama demu nmemwaga ndani huwaga skatai waga nasubiri mtoto azaliwe,to cut story alijifungua mtoto wa kike now ana 7_8 month yupo kwao..now nina 27 tyr nina 2 kids,to be honesty mwanamke ni mpambanaji balaa na ni wife material aswa..

Nini nataka kukuambia
Hakuna haja ya kukataa wala kukimbia mimba kubali na hudumia kwa kiasi,mpe tumaini kuwa utamfata hapo nyumbani,then yote anafanya sabu ys pressure ya wazazi na malezi ila watoto wakishakuwa wala awatakua na habari naww,so focus na unachofanya na jijenge.
 
Una bahati sana kijana, umepata watoto wawili kabla ya ndoa?
Asikutishe kwanza hiyo mimba siyo yako alikuja kukubΓ mbikia tuu. Mwambie ajifungue kwanza mkapime DΓ‘A. Kama mtoto ni wako mtapanga namna kuishi mbalimbali.
Zingatia KATAA NDOA.
 
Mwanamke kama humtaki hata ukimuoa hamuwezi kudumu nae zaidi ya kupigizana makelele, mangumi na vituko vya Kila namna Kila siku.

Heri atemane nae, heri amuache mapema tuu aepukane na kadhia kama hizo.

Kumpa mtu mimba sio lazma umuoe na Wala sio tiketi ya kuoa, mimba nyingine ni za mtego tuu.

Akae Kwa kutulia achunguze mwanamke mwingine wa kuoa, aoe aweke ndani, wanawake wenye tabia nzuri wanaostaili kuitwa wake wapo wengi tuu.

Watoto wakifikisha miaka kuanzia saba awachukue akawalele pamoja na Watoto atakao kuwa amewazaa na mke wake atakae muoa.
 
Mahusiano yako kama ccm mkuu hauyataki ila ndo uko nayo na yataendelea kuwepo....
 
Kama humpendi mtu usimuoe achana nae maana ukilazimisha kumuoa mnaweza leteana majanga tuu,

Chagua kitu ukipendacho kuepusha mtafaruku.

Achana nae, huyo kakutegea mimba makusudi ili umuoe Kwa lazima.

Mwambie kutia mimba mtu sio lazma umuoe na Wala sio kigezo Cha kuolewa.

Tafta mwanamke unaemkubali wewe mwenye tabia nzuri oa. Usije ukamwachia Watoto mazima. Watoto wako wakifikisha miaka kwanzia saba wachukue uwantunze pamoja na Watoto watakao zaliwa na mwanamke utakae muoa.
 
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 π’Œπ’˜π’‚ π’–π’”π’‰π’‚π’–π’“π’Š π’Žπ’›π’–π’“π’Š 𝒔𝒂𝒏𝒂 π’Œπ’‚π’Œπ’‚ 𝒂𝒕𝒍𝒆𝒂𝒔𝒕 π’–π’Žπ’†π’—π’‚π’‚ π’—π’Šπ’‚π’•π’– π’—π’šπ’‚π’π’ˆπ’–
 
Mtoto Joanah katika ubora wakoπŸ˜‚
 
Mleta mada ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi mengi Sana.
Toka mwanzoni ulijua kabisa huyo mwanamke ni mjeuri hawezi kuishi naye na bado ukakaza fuvu ukakojoa ndani ukampa mimba nyingine.

Kwanini unamchezea mtoto Wa watu pamoja na kuharibu maisha ya wanao kwa kukosa malezi ya Baba na mama?

Ukipenda boga na ua lake.Mchukue huyo mwanamke uishi naye melee watoto pamoja.
 
Hapo kwenye kutoshiriki nae tendo ndio changamoto ilipo maana inaelekea jamaa kashakubali game ya mrembo ndio maana akamwagia mbilea mara ya pili
 
M aotombanaga na condom mnaenjoy kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…