Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

Nijifunze nini bwana wewe wakati pesa inawaleta nannajipigia tuu mwanawane
Dont buy pussy bro,,
You are throwing in the towel..

Prey on them for free and save your money for future usihonge mkuu..

Ungekuwa hapa karibu ningekuotesha mapembe kwenye hilo dungu.
 
Dont buy pussy bro,,
You are throwing in the towel..

Prey on them for free and save your money for future usihonge mkuu..

Ungekuwa hapa karibu ningekuotesha mapembe kwenye hilo dungu.
If it works dnt fix it...sasa wee mbususu hapa kaumba nanunua buku 3 hiyo nayo hela ya kusema una honga bro
 
Unaoaje mwanamke jeuri?
 
Naona wewe bado ni mtoto mdogo kifikira!
Huyo binti uliyemzalisha ndiyo mkeo halisi! Ukimwacha na kuoa mwingine utayajutia maisha yako.
 
Mambo yote hayo kijana umejitakia,,tambua kwanza huo ni uzinifu ulofanya,sijui uko dini gani!?,kama ni mkristu muoe tu awe mkeo,asiendelee kuteseka,, katika uislamu haitakiwi kumuoa ulomzini waweza lazimisha lkn we ndo utajuana na mungu wako,yangu ni hayo.
 

Kutenda kosa la kwanza sio Shida na bado ukarudia tena!!? Umzalishe binti wa watu watoto wawili halafu umwache bila sababu ya msingi?

Hebu mchukue ishi nae uwalee watoto wako. Hayo mambo mengine madogo madogo utamuonya na kumweleza unataka awe mke wa aina gani na akishindwa kufuata uyatakayo basi......

Familia ndiyo iwe chachu ya kupambana kuongeza kipato
 
Duuh Aiseeh Pole sana Kamanda! Umepitia kwenye changamoto nzito sana.

Mimi Pia nitakuja kutoa Uzi siku humu ya jinsi gani nilivoinuka. Ilifikia hatua nilikata tamaa ya maisha nikataka kwenda kujitoa hata uhai barabarani. Kuna mtu unalogwa mpaka unavurugwa unakua sio wewe.
 
Mwambie tu haiwezekani
 
Sasa una vunja yai kizembe hivyo, wanawake wajanja,unapenda midinyo mwaisaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kama huna roho ngumu huchomoi halafu akukute una ugwadu ,walahi utakaza ndimpozi za makalio ,utakuja kushituka imoooo😁😁😁
🀣🀣🀣Eti utakaza dimples za matako 🀣🀣🀣
Ah wee unakuta tako lina vibrate mbele yako unasema hapa demu hawezi ingia gheto atole salama...lazima agegedwe
 
Wee hawa viumbe ni kugegeda tuu wala usiwape nafasi ya kujidai na wewe.
Tumia kibunda kuwakula basi. Uzuri mbususu zao tamu ila wao wenyewe wana roho ya kishetani kabisaaaa

Kwa hiyo ni afadhali kuwatumia tu kisha kuachana nao au sio ?! πŸ˜€πŸ˜…
Weka mbali na watoto . πŸ˜†
 
Kwa hiyo ni afadhali kuwatumia tu kisha kuachana nao au sio ?! πŸ˜€πŸ˜…
Weka mbali na watoto . πŸ˜†
Yes mwanawane wanawake wee watumie tuu. They got no love for us bro. So why should we love them?
Wanape da hela zetu na sie tunapenda mbususu zao. Life is simple.
 
Mpumbavu sana wewe. ngesem! mamakukoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…