Naomba Ushauri: Kutengeneza H Beam Tank Stand (10,000 Litres)

Huko uliko hakuna mafundi/wataalamu?
 
Hii mipango yako isije kukugarimu maisha.🤣🤣 Litakuja kuporokoka.

Mara uweke chumba mara uweke jiko mara humo humo Tank
 
Hii mipango yako isije kukugarimu maisha.[emoji1787][emoji1787] Litakuja kuporokoka.

Mara uweke chumba mara uweke jiko mara humo humo Tank

I know and i aint stu.pid bro ndio maana nlikuja omba washauri huku, nimesha badilisha plan pale juu litakaa tank la litre 2000 au 3,000

Tank la litre 10,000 kwa vyovyote haliwezi kukaa juu ya hyo slab…..litakaa nyuma ya nyumba na ujenzi wa base yake (Kwa Chini ground kabisa) nimekamilisha jana. Itafungwa motor ya kupandisha maji juu ya tank ya kwenye slab ambalo ni la litre 2000 au 3,000 (dogo tu kwa matumizi madogo ya ndani)

Thanks For The Concern Chief, Ubarikiwe.

Cc:
Smart911 Smart911 Smart911
 
Leo Nimeona mnara juu kuna lita 10,000, katikati lita 7,000 na chini kuna choo cha nje.
Yani juu ndio kuna 10,000lts na katikati akaweka 7,000lts? Mbona kama kafanya vice versa!
 
Sikushauri upandishe 10,000lts juu. Volume kubwa hence uzito mkubwa, sioni sababu.

The only way ni kulijengea base chini hilo 10,000lts then pandisha juu 3,000lts(rest assured kwa ubora hiyo slab hakuna tatizo). Weka pump kupandisha maji kutoka 10,000lts kuja 3,000lts kwa matumizi ya ndani.

Personal experience, nimechimba shimo la kuvuna maji ya mvua it's roughly 12ft diameterand 17ft deep, nikajenga huo mnara na kuweka 3,000lts. Ni mwendo wa kupump maji tu saivi. Sikushauri uweke mzigo mkubwa hivyo juu.
 
brother hilo tank la lita 10000 jengea base chini alafu weka nunua tank la lita 2500 pandisha juu hapo sasa la lita 10000 linakuwa lina feed la lita 2500 . kuweka tank kubwa kama hillo ni very risk man.
 

ERoni Mbongo4life

Ndugu Zangu Mbarikiwe Sana Na Ndio Nlichoanza Kufanya. Nashukukuru Mungu hyo tower itakua kwa matumizi mengine na tank la litre 3,000 kwa juu…..Tank la litre 10,000 nimelijengea base separate pembeni kabisa.

Aisee Mbarikiwe Sana.
 

Mwanzoni sasa idea yangu ilikua kitu kama hiki.

Kwa tank la litre 10,000 likae floor ya pili na floor ya kwanza store na ground floor iwe jiko.

Ila sitaweza fanya tena hivyo sababu ya woga ila msingi na nondo za 16 mm nimeweka kila kitu fresh. Ila hilo tank la 10,000 nimeamua kuliweka ground kabisa kwenye base nliyoiandaa…
 

Ina wezekana mkuu, waka usi hofu
 
Ina wezekana mkuu, waka usi hofu

Ni kweli ila Blo ushai liona pipa la litre 10,000 lilivyo alaf pata picha lijae maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Noma Joh lazima uogope design. Mimi slab na msingi wa tower yangu nimekamilika sana najiamini ila daah sio poa joh. Hahaha

Nimeona niwe mpole tu league nazo sio nzuri.
 
Mkuu, mbona kwa msingi huo unaweza kujenga tofali ya kulaza na ukamimina slab yako bila kujenga nguzo yoyote!
 
Mkuu hiyo ratio ya 1:3:5 ni injinia alikupa? Au unamsingizia injinia wa watu?
 
Mimi nakumbuka last time nilipewa task ya ku design hiki kitako cha tenki la 10,000. Tulitumia zege ya grade C16/20 na nondo za beams, colums na msingi zilikua za Y12.

Tenki liliwekwa la lita 10,000 na mpaka leo linadunda.
 
Mimi nakumbuka last time nilipewa task ya ku design hiki kitako cha tenki la 10,000. Tulitumia zege ya grade C16/20 na nondo za beams, colums na msingi zilikua za Y12.

Tenki liliwekwa la lita 10,000 na mpaka leo linadunda.
Sijajua uimara wa tofali yake. Ila kwa size ya slab hiyo, unalaza tofali na juu unafunga beams na kumimina Kama kawaida. Same to second floor, na inakaa 10t Safi kabisa.
 
Sijajua uimara wa tofali yake. Ila kwa size ya slab hiyo, unalaza tofali na juu unafunga beams na kumimina Kama kawaida. Same to second floor, na inakaa 10t Safi kabisa.
Ila hii haikutumia tofali hata moja, ilikua msingi (pad footing), columns, beams na slabs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…