Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko uliko hakuna mafundi/wataalamu?Peace Be Upon Y’all
Husika na kichwa Cha Habari
Kuna site kimeoteshwa kibanda sasa uwani kumebaki nafasi ambayo plan ikawa iwekwe stand ya kubeba tank la maji la 10,000 ambayo litabebwa na stand imara za chuma za H Beam kwa mnaozifaham…..urefu usiopungua foot 10 kwenda juu ukicheck nyuma ya nyumba kuna kiji slope flani hivi….
To The Matter
Ulikuwa unahitajika ushauri wa kulitengeneza hilo stand, ufundi wake, estimated costs, ni H beam ya size gani itakua imara ya kuhimili uzito wake hilo tank la litre 10,000 likijaa maji, risk na changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo, wapi material yanapatikana kwa gharama zenye ahueni etc.
YES, Kwa mazingira yaliyopo stand ya ghorofa / slabs za zege isn’t preferable.
Many Thanks & God Bless.
Hii mipango yako isije kukugarimu maisha.🤣🤣 Litakuja kuporokoka.Ok
Unajua nn actually nimejenga mnara mpana flani hivi kama meter 4 kwa 3 na nusu hivi sort of msingi wake nimeanza toka chini fresh na nondo nimetumia kwa kila nguzo 16 mm - nondo 6 kwa kila nguzo (msingi wake wa vile vile kama ghorofa foot 4 na nusu kwenda chini na nondo zimesukwa fresh tu kwa hzo nondo za 12 mm base lake la square vile vile kama ghorofa)
Sasa issue ikaja chini nataka nifanye jiko la nnje / juu baada ya slab nifanye store au some room then slab la pili juu ndio niweke hilo tank la litre 10,000 sasa nikawa najawa na hofu flani lisije likaanguka….yani technically ni woga tu ila base chini na ratio za cement kila kitu nimefata utaratibu plus engineer’s guidance….
Sasa kuliangalia lile tank la litre 10,000 lilivyo kubwa alaf lijae maji tena alaf niliweke slab ya floor ya pili ndio hapo najawa woga.
Preferably tank la litre 10,000 cz issue za maji zisiwe na kuunga unga hivi.
NB: Nguzo Za Huo Mnara ni nguzo 4, kila nguzo zina nondo 6 za 16 mm
Hivyo Tu Wakuu.
Hii mipango yako isije kukugarimu maisha.[emoji1787][emoji1787] Litakuja kuporokoka.
Mara uweke chumba mara uweke jiko mara humo humo Tank
Yani juu ndio kuna 10,000lts na katikati akaweka 7,000lts? Mbona kama kafanya vice versa!Leo Nimeona mnara juu kuna lita 10,000, katikati lita 7,000 na chini kuna choo cha nje.
brother hilo tank la lita 10000 jengea base chini alafu weka nunua tank la lita 2500 pandisha juu hapo sasa la lita 10000 linakuwa lina feed la lita 2500 . kuweka tank kubwa kama hillo ni very risk man.Peace Be Upon Y’all
Husika na kichwa Cha Habari
Kuna site kimeoteshwa kibanda sasa uwani kumebaki nafasi ambayo plan ikawa iwekwe stand ya kubeba tank la maji la 10,000 ambayo litabebwa na stand imara za chuma za H Beam kwa mnaozifaham…..urefu usiopungua foot 10 kwenda juu ukicheck nyuma ya nyumba kuna kiji slope flani hivi….
To The Matter
Ulikuwa unahitajika ushauri wa kulitengeneza hilo stand, ufundi wake, estimated costs, ni H beam ya size gani itakua imara ya kuhimili uzito wake hilo tank la litre 10,000 likijaa maji, risk na changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo, wapi material yanapatikana kwa gharama zenye ahueni etc.
YES, Kwa mazingira yaliyopo stand ya ghorofa / slabs za zege isn’t preferable.
Many Thanks & God Bless.
Sikushauri upandishe 10,000lts juu. Volume kubwa hence uzito mkubwa, sioni sababu.
The only way ni kulijengea base chini hilo 10,000lts then pandisha juu 3,000lts(rest assured kwa ubora hiyo slab hakuna tatizo). Weka pump kupandisha maji kutoka 10,000lts kuja 3,000lts kwa matumizi ya ndani.
Personal experience, nimechimba shimo la kuvuna maji ya mvua it's roughly 12ft diameterand 17ft deep, nikajenga huo mnara na kuweka 3,000lts. Ni mwendo wa kupump maji tu saivi. Sikushauri uweke mzigo mkubwa hivyo juu.
Mwanzoni sasa idea yangu ilikua kitu kama hiki.
Kwa tank la litre 10,000 likae floor ya pili na floor ya kwanza store na ground floor iwe jiko.
Ila sitaweza fanya tena hivyo sababu ya woga ila msingi na nondo za 16 mm nimeweka kila kitu fresh. Ila hilo tank la 10,000 nimeamua kuliweka ground kabisa kwenye base nliyoiandaa…
Ina wezekana mkuu, waka usi hofu
Mkuu, mbona kwa msingi huo unaweza kujenga tofali ya kulaza na ukamimina slab yako bila kujenga nguzo yoyote!Ok
Unajua nn actually nimejenga mnara mpana flani hivi kama meter 4 kwa 3 na nusu hivi sort of msingi wake nimeanza toka chini fresh na nondo nimetumia kwa kila nguzo 16 mm - nondo 6 kwa kila nguzo (msingi wake wa vile vile kama ghorofa foot 4 na nusu kwenda chini na nondo zimesukwa fresh tu kwa hzo nondo za 12 mm base lake la square vile vile kama ghorofa)
Sasa issue ikaja chini nataka nifanye jiko la nnje / juu baada ya slab nifanye store au some room then slab la pili juu ndio niweke hilo tank la litre 10,000 sasa nikawa najawa na hofu flani lisije likaanguka….yani technically ni woga tu ila base chini na ratio za cement kila kitu nimefata utaratibu plus engineer’s guidance….
Sasa kuliangalia lile tank la litre 10,000 lilivyo kubwa alaf lijae maji tena alaf niliweke slab ya floor ya pili ndio hapo najawa woga.
Preferably tank la litre 10,000 cz issue za maji zisiwe na kuunga unga hivi.
NB: Nguzo Za Huo Mnara ni nguzo 4, kila nguzo zina nondo 6 za 16 mm
Hivyo Tu Wakuu.
Mkuu hiyo ratio ya 1:3:5 ni injinia alikupa? Au unamsingizia injinia wa watu?Yani slabs na nondo chini imesukwa barabara mkuu na engineer kasimamia ratio zote hata asipokuwepo mimi mwenyewe ratio nliosimamia ni 1:3:5 nondo zote zimesukwa ipasavyo….ila issue ndio hyo tank kukaa floor ya pili….tank likikaa floor ya kwanza sina mashaka yeyote.
Unless hapo mkuu ukubwa wa tank upungue nichukue tank 5,000 litres na jingine niweke sehem nyingine hapo hapo site la 5000 litres.
Nikienda site nitarudi na picha zake
Sijajua uimara wa tofali yake. Ila kwa size ya slab hiyo, unalaza tofali na juu unafunga beams na kumimina Kama kawaida. Same to second floor, na inakaa 10t Safi kabisa.Mimi nakumbuka last time nilipewa task ya ku design hiki kitako cha tenki la 10,000. Tulitumia zege ya grade C16/20 na nondo za beams, colums na msingi zilikua za Y12.
Tenki liliwekwa la lita 10,000 na mpaka leo linadunda.
Ila hii haikutumia tofali hata moja, ilikua msingi (pad footing), columns, beams na slabs!Sijajua uimara wa tofali yake. Ila kwa size ya slab hiyo, unalaza tofali na juu unafunga beams na kumimina Kama kawaida. Same to second floor, na inakaa 10t Safi kabisa.