Naomba ushauri kutoka kwenu wajuzi

gelewizy

Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Naomba ushauri wataalamu, nimeplan kununua gari kati ya subaru impreza sportwagon au Toyota Gaia ya 2001, kipi ni nafuu kati ya kununua show room au kuagiza japan?
 
Kwa unafuu, kuagiza always cheaper.

Sasa sijajua kati ya izo ndinga 2 unataka pia tukushauri au umeomba tu ushauri wa showroom vs kuagiza?
 
Kwa unafuu, kuagiza always cheaper.

Sasa sijajua kati ya izo ndinga 2 unataka pia tukushauri au umeomba tu ushauri wa showroom vs kuagiza?
Yes ushauri pia kati ya hizo mbili ipi ni uhakika yan itadumu bila kusumbua mara kwa mara
 
1. Bajeti ni ishu au sio ishu? Kama ni ishu ipo range ipi?
2. Matumizi yako ni yepi kwa siku, na wiki?
3. Bajeti yako kwenye gari kwa mwezi unaitengea bei gani? Ukitoa mafuta.
 
1. Bajeti ni ishu au sio ishu? Kama ni ishu ipo range ipi?
2. Matumizi yako ni yepi kwa siku, na wiki?
3. Bajeti yako kwenye gari kwa mwezi unaitengea bei gani? Ukitoa mafuta.
bajeti ni 13mil, matumizi ni kwenda kazini tu na kurudi ambapo ni kama km 6 tu kwenda na kurud, labda mara mojamoja uendee mjini na kanisani siku za jumapili
 
Mzee tuseme magari uliopenda ndio hayo hayo mawili TU?
 
Kwa Budget yako ungechukua Voltz, Allex, Runx, IST, XTrail, IST... magari normal. Sijui nn umekiona kwenye hayo machaguo yako.
Yan hapo ndo nimepaona aisee, lakin pia kuna kuna kizuri sio mbaya kuniweka wazi
 
Kwa Budget yako ungechukua Voltz, Allex, Runx, IST, XTrail, IST... magari normal. Sijui nn umekiona kwenye hayo machaguo yako.
X TRAIL NAIPENDA SEMA NILISIKIA YANASHIDA YA ENGENE NDO MANA NIKAYAPOTEZEA, MWANZONI PIA NILIIPENDA SANA RUNX SEMA KUNA JAMAA YANGU ANAYO ANATAKA KUIUZA KUCHUKUA PREMIO ANADAI IMEKAA KITOTO SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…