Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ushauri pia kati ya hizo mbili ipi ni uhakika yan itadumu bila kusumbua mara kwa maraKwa unafuu, kuagiza always cheaper.
Sasa sijajua kati ya izo ndinga 2 unataka pia tukushauri au umeomba tu ushauri wa showroom vs kuagiza?
bajeti ni 13mil, matumizi ni kwenda kazini tu na kurudi ambapo ni kama km 6 tu kwenda na kurud, labda mara mojamoja uendee mjini na kanisani siku za jumapili1. Bajeti ni ishu au sio ishu? Kama ni ishu ipo range ipi?
2. Matumizi yako ni yepi kwa siku, na wiki?
3. Bajeti yako kwenye gari kwa mwezi unaitengea bei gani? Ukitoa mafuta.
Yan hapo ndo nimepaona aisee, lakin pia kuna kuna kizuri sio mbaya kuniweka waziMzee tuseme magari uliopenda ndio hayo hayo mawili TU?
Yan hapo ndo nimepaona aisee, lakin pia kuna kuna kizuri sio mbaya kuniweka wazi
X TRAIL NAIPENDA SEMA NILISIKIA YANASHIDA YA ENGENE NDO MANA NIKAYAPOTEZEA, MWANZONI PIA NILIIPENDA SANA RUNX SEMA KUNA JAMAA YANGU ANAYO ANATAKA KUIUZA KUCHUKUA PREMIO ANADAI IMEKAA KITOTO SANAKwa Budget yako ungechukua Voltz, Allex, Runx, IST, XTrail, IST... magari normal. Sijui nn umekiona kwenye hayo machaguo yako.
sina familiaUna familia mkuu?