Naomba ushauri kuwashwa sehemu za siri

sokwee

Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
49
Reaction score
13
Naomba ushauri nawashwa sehemu ya uume kuzunguka sehemu yote ya siri mpaka pumbu zinawasha sana mpaka sipati raha wakati nikifanya tendo la ndoa.

Nimepima mkojo hakuna tatizo ila mkojo una rangi nyingi nimeambiwa ninywe maji mengi nimepewa dawa vidonge na dawa ya kupaka lakini bado nawashwa sana naombeni ushari nitumie dawa gani itakayo nisaidia nashukuru mtakao nishauri.
 
Epuka kuvaa boxer za mpira kwa usalama wa makende, pia nenda kwa daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi .
 
epuka kuvaa boxer za mpira kwa usalama wa makende, pia nenda kwa daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi...ukiweza uwe unaziloweka hizo mbupu kwenye kisado
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona umepima mkojo tuu bwana wewe!! Pima na std/i's
 
Kipindi cha joto ndio huwasha sana kuna ugonjwa wenu bana nimeusahau jina

Sasa fanya hivi ,nyoa vuzi zote jisafishe na maji ya vugu vugu yenye chumvi kwa mbali sana kisha paka mafuta ya nazi original mwambie wife akupikie usinunue yale ya dukani ukikosa paka oliva oil ama upake

Zoez hili fanya asubuhi na jioni /usiku hakikisha unajikausha vyema usibaki na maji maji pia zisiwe kavu mafuta ni muhimu sana kwa kipind hichi

Ukifanya hayo ndani ya siku 7 ulete mrejesho
 
Mkuu UKINYOA WEMBE Upeleke CHINI..... usipeleke JUU,,,, NDY madhara yake hayo
 
Nunua Mafuta ya Nazi yanaitwa PARACHUTE pakaza wakati wa kulala sehem hizo lakn jifute kwanza
 
Nashukuru wakuu nitafanya mnavyo nielekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…