sokwee
Member
- Dec 7, 2017
- 49
- 13
Naomba ushauri nawashwa sehemu ya uume kuzunguka sehemu yote ya siri mpaka pumbu zinawasha sana mpaka sipati raha wakati nikifanya tendo la ndoa.
Nimepima mkojo hakuna tatizo ila mkojo una rangi nyingi nimeambiwa ninywe maji mengi nimepewa dawa vidonge na dawa ya kupaka lakini bado nawashwa sana naombeni ushari nitumie dawa gani itakayo nisaidia nashukuru mtakao nishauri.