Naomba ushauri kwa aina hii ya ujenzi

Naomba ushauri kwa aina hii ya ujenzi

aliso

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
32
Reaction score
2
Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.
 
Mkuu kwa sasa mbona hiyo ndiyo style, mpaka kabati za nguo za vyumbani ni za ukutani tu,
 
Kabati kuwa fixed ukutani ishapitwa na wakati. Sometimes utahitaji kubadilisha mandhari/muonekano wa chumba husika ili kuvutia zaidi.
 
WADAU KWA ANAYE HITAJI IPAD
Nina ipad moja iko poa sana, ni lenovo hivyo anayehitaji yuwasiliane kwa no 0715 546818
 
umekosa kabisa pa kuweka tangazo lako mpaka uje kulipenyeza kwenye uzi wa mwenzio?
Kisa nini?
 
KWA ANAYE HITAJI DESKTOP
ipo desktop moja matata sana aina ni
Dell optiplex 7010
Ram 4gb
Procesor ni core i5 @ 3ghz
Hard disk ni 500 gb
Dvd writer
Bado iko poa xn
Monitor yake ni 19 inch
bei 450 kwa anayehitaji tuwasiliane kwa no 0715 546818
 
Huu sio ustarabu kabisa kwanini una haribu uzi wa Mwenzako....Hivi kama ww umeanzisha uzi wako kuuza kompyuta nami nikachomekea Habari za Ufugaji kuku UTAJISIKIAJE.....kwa kifupi Ndugu ww SI MSTAARABU NA HAUJASTARABIKA.....BADILIKA
 
Ukisema ipad lazima iwe ni apple product, hapa ulitakuwa kusema tablet ya Lenovo then utoe na specification zake. nadhani maada inaongelea ujenzi,

Ahsante
 
Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.

Wapo watu wanatumia hiyo style lakini binafsi sikushauri hasa kwa sitting room kwa sababu kuna wakati unaweza kupenda kubadilisha furnitures na /au muonekano wa sitting room ikawa changamoto. Kwa vyumbani kuwa na wadrobe ilijengewa moja kwa moja sioni kama kuna tatizo. Ni hayo tu mkuu
 
usiweke ukutani....ukitaka kubadili muonekano wa ndani itakuaje?au ukitaka kubadili hilo kabati itakuawaje
 
Kabati la ukutani tena sebuleni mie naona ilishapitwa na wakati
 
Huu sio ustarabu kabisa kwanini una haribu uzi wa Mwenzako....Hivi kama ww umeanzisha uzi wako kuuza kompyuta nami nikachomekea Habari za Ufugaji kuku UTAJISIKIAJE.....kwa kifupi Ndugu ww SI MSTAARABU NA HAUJASTARABIKA.....BADILIKA

Kwanini tunakuwa siyo wastaarabu kiasi hiki? Hizi dharau!
 
Back
Top Bottom