GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.
Usifanye jambo ambalo hujawahi kuona, jaribu kuingia Google, tafuta picha angalia. Utapata ideas