Naomba ushauri kwa aina hii ya ujenzi

Naomba ushauri kwa aina hii ya ujenzi

Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.

Usifanye jambo ambalo hujawahi kuona, jaribu kuingia Google, tafuta picha angalia. Utapata ideas
 

Attachments

  • 1420833626655.jpg
    1420833626655.jpg
    32.3 KB · Views: 226
  • 1420833669856.jpg
    1420833669856.jpg
    16.7 KB · Views: 220
WADAU KWA ANAYE HITAJI IPAD
Nina ipad moja iko poa sana, ni lenovo hivyo anayehitaji yuwasiliane kwa no 0715 546818

HAKUNA iPad aina ya Lenovo mkuu. iPad ni bidhaa ya kampuni ya APPLE. Weka maelezo vizuri
 
Back
Top Bottom