Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.
WADAU KWA ANAYE HITAJI IPAD
Nina ipad moja iko poa sana, ni lenovo hivyo anayehitaji yuwasiliane kwa no 0715 546818
KWA ANAYE HITAJI DESKTOP
ipo desktop moja matata sana aina ni
Dell optiplex 7010
Ram 4gb
Procesor ni core i5 @ 3ghz
Hard disk ni 500 gb
Dvd writer
Bado iko poa xn
Monitor yake ni 19 inch
bei 450 kwa anayehitaji tuwasiliane kwa no 0715 546818
Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri inawezekana kuwa na kabati ya ukutani sitting room. Je muonekano wake unapendezesha sitting. Naomba msaada wenu.
usiweke ukutani ni style ya zamani mkuu
kwa sababu sikupendiwengine unawashauri vizuri ila mimi unanipa ushauri mbovu ajabu
kwa sababu sikupendi
kisa cha kutokunipenda?
unaninyima pesa
jamani jamani mapesa yote ninayokupa kwa hiari yangu bado tu hutosheki? mweeeh:what::what:
unanipa kidogo
Huu sio ustarabu kabisa kwanini una haribu uzi wa Mwenzako....Hivi kama ww umeanzisha uzi wako kuuza kompyuta nami nikachomekea Habari za Ufugaji kuku UTAJISIKIAJE.....kwa kifupi Ndugu ww SI MSTAARABU NA HAUJASTARABIKA.....BADILIKA