Swali lako ni kama biashara ya barafu inalipa ?
Jibu ni inategemea location.., Jangwani utauza; North na South Pole hautauza..
Pili unaweza ukawa unauza nyanya zote sawa wewe na jirani yako.., yeye anamaliza mzigo wewe hata moja hauuzi (kwahio biashara ni more than bidhaa, quality na salesmanship... na lazima ujue wateja wako.., sehemu ya watu wananyolea kwa tshs 500 kwa kichwa wewe ukafanya premium sercives za 4000 kwa kichwa utasikilizia mziki wake