Naomba ushauri kwa aliyefanya business ya Saloon ya kiume kama inalipa.

Naomba ushauri kwa aliyefanya business ya Saloon ya kiume kama inalipa.

VENTURECACHER

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
38
Reaction score
8
Nahitaji, kutafuta mtaji wa kufunguaa saloon ya kiume ila sijajua gharama za saloon yenye standard.
Faida zake, makusanyo yake nayabana vipi kwasababu nataka kumewekaa mtu,pia ningependa kujua changamoto za biashara hiyo Ninaomba ushaurii wakuu tafadhalii!
 
Swali lako ni kama biashara ya barafu inalipa ?

Jibu ni inategemea location.., Jangwani utauza; North na South Pole hautauza..

Pili unaweza ukawa unauza nyanya zote sawa wewe na jirani yako.., yeye anamaliza mzigo wewe hata moja hauuzi (kwahio biashara ni more than bidhaa, quality na salesmanship... na lazima ujue wateja wako.., sehemu ya watu wananyolea kwa tshs 500 kwa kichwa wewe ukafanya premium sercives za 4000 kwa kichwa utasikilizia mziki wake
 
Ni kweli, bt changamoto zake ni zipi? Piaa unawezaa kuanza na mtaji kiasi gani?
 
Back
Top Bottom