RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Kabisa yaani biashara ambao 1% wanafanikiwa ndo nini?Kweli kabisa,wao wanakula hela za newbie's
Bora nikauze genge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani biashara ambao 1% wanafanikiwa ndo nini?Kweli kabisa,wao wanakula hela za newbie's
Hebu ngoja,, umeitoa $37- 1100+$? Mbona unasema watu waanze na 600$?Mimi ni mwalimu, Kuna kipindi niliingia mkopo bank kwa sababu ya changamoto zilizonikabili ikapelekea kubaki na sh 205,000 tu kwenye take home na huku Nina familia
Kitu pekee kilichonisaidia mpaka Sasa ni forex trading (Mimi natrade indices) tu Ili zinihakikishie ugali hata weekend
Hilo robot la tingatinga nalijua na anauza Dola 1000$ ila halitasaidia kitu Wala usiwe impressed na results wanazopost Instagram page yao
Kitu kikubwa kinachohitajika kwenye forex ni hivi vifuatavyo
1. Mtaji at least 600$ japo ukiwa na 1000$ ni vizuri zaidi
2. Risk management ( hapa ndo chanzo Cha watu wengi kuiona forex ni ngumu au scarm ukiweza kwenye risk management umeweza forex mfano kwenye hio dollar 1000$ tumia lot ya 0.10 kwenye currency na 0.1 kwenye index kama nasdaq, us30,index 500, n.k vile vile kwenye commodity kama gold na silver tumia lot 0.1 position moja au mbili
Na target ya profit yako kwa huo mtaji urange Dola 0$-20$ per day)
3. Subira ( ukiwa na subira katika soko la forex ni hatua mojawapo ya kuvuka kiunzi Cha kupata loss , subira kwenye entry, subira kwenye loss, subira kwenye profit depends na ww soko unalionaje)
4. Chukua profit na fuata plan yako usijaribu katu kubadili mawazo pindi target yako inapofikiwa
5. Epuka overtrading na revenge kubali loss ndogo uliyopata hio siku na usitake kuirudisha kwa lazima soko haliendi popote lipo pale kwa ajili yako Leo ,kesho na hata mile
NB ukizingatia haya utaona forex rahisiView attachment 2775225
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hongere sana mkuu,itabidi nikutafute unielekeze one on one maana naona kama nimapicha picha tu labda ninge onana na ww ilinione live unavotrade ingesaidia pakubwaMimi ni mwalimu, Kuna kipindi niliingia mkopo bank kwa sababu ya changamoto zilizonikabili ikapelekea kubaki na sh 205,000 tu kwenye take home na huku Nina familia
Kitu pekee kilichonisaidia mpaka Sasa ni forex trading (Mimi natrade indices) tu Ili zinihakikishie ugali hata weekend
Hilo robot la tingatinga nalijua na anauza Dola 1000$ ila halitasaidia kitu Wala usiwe impressed na results wanazopost Instagram page yao
Kitu kikubwa kinachohitajika kwenye forex ni hivi vifuatavyo
1. Mtaji at least 600$ japo ukiwa na 1000$ ni vizuri zaidi
2. Risk management ( hapa ndo chanzo Cha watu wengi kuiona forex ni ngumu au scarm ukiweza kwenye risk management umeweza forex mfano kwenye hio dollar 1000$ tumia lot ya 0.10 kwenye currency na 0.1 kwenye index kama nasdaq, us30,index 500, n.k vile vile kwenye commodity kama gold na silver tumia lot 0.1 position moja au mbili
Na target ya profit yako kwa huo mtaji urange Dola 0$-20$ per day)
3. Subira ( ukiwa na subira katika soko la forex ni hatua mojawapo ya kuvuka kiunzi Cha kupata loss , subira kwenye entry, subira kwenye loss, subira kwenye profit depends na ww soko unalionaje)
4. Chukua profit na fuata plan yako usijaribu katu kubadili mawazo pindi target yako inapofikiwa
5. Epuka overtrading na revenge kubali loss ndogo uliyopata hio siku na usitake kuirudisha kwa lazima soko haliendi popote lipo pale kwa ajili yako Leo ,kesho na hata mile
NB ukizingatia haya utaona forex rahisiView attachment 2775225
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Experience tunatofautiana mkuu hio niliyoisemea mm ni standard sahihiHebu ngoja,, umeitoa $37- 1100+$? Mbona unasema watu waanze na 600$?
What do you mean full time?. Psychology is the key in this business.Are you doing forex fulltime?
Ulitumia muda gani kumake 30X your capital? Na lotsize ulitumia 0.1?Experience tunatofautiana mkuu hio niliyoisemea mm ni standard sahihi
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi sitrade currency ukisoma vizuri utaona sehemu nimesema natrade indices I mean volatility indicesUlitumia muda gani kumake 30X your capital? Na lotsize ulitumia 0.1?
Tupo pamoja Mwl., Na mimi ni Mwl. Muda huu natoka Church na hiki ndio nimekikuta kwenye V75Mkuu Mimi sitrade currency ukisoma vizuri utaona sehemu nimesema natrade indices I mean volatility indicesView attachment 2775299
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sawasawa mkuu.Mkuu Mimi sitrade currency ukisoma vizuri utaona sehemu nimesema natrade indices I mean volatility indicesView attachment 2775299
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hongera.Tupo pamoja Mwl., Na mimi ni Mwl. Muda huu natoka Church na hiki ndio nimekikuta kwenye V75
Pure price action is the key, Volatility zinatembea bila influence of fundamentals (News).Sawasawa mkuu.
Na unatumia mbinu ipi? Au indicators?
Discipline, aisee mkuu, labda ndo maana soko lilinishinda .Pure price action is the key, Volatility zinatembea bila influence of fundamentals (News).
Lakini uvumilivu wa kusubri the right time, inasumbua sana.
e.g hapa nimeingia baada ya kusubri for about 3days.
Smart Money Concept (SMC), Wychoff concept, Order Broke, patterns , etc, vyote vinasaidia kutengeneza Confluence katika entry, lakini inachikua muda vyote ku- align, hivyo best entry inachikua muda kutokea na ikitokea inatembea muda mrefu sana.Discipline, aisee mkuu, labda ndo maana soko lilinishinda .
Si unatumia SMC au patterns?
Anhaa so unaweza tumia strategies zote hizo kwnye sehemu moja? Au ni kuimaster mojawapo?Smart Money Concept (SMC), Wychoff concept, Order Broke, patterns , etc, vyote vinasaidia kutengeneza Confluence katika entry, lakini inachikua muda vyote ku- align, hivyo best entry inachikua muda kutokea na ikitokea inatembea muda mrefu sana.
Great ,japokuwa umetrade kwenye demo account lakini inaonesha unaenda nayo vizuri, ukiingia kwenye real Itakuwa angalau, komaa usikate tamaaTupo pamoja Mwl., Na mimi ni Mwl. Muda huu natoka Church na hiki ndio nimekikuta kwenye V75
Angalau uwe na sababu 3 za kuingia trade,Anhaa so unaweza tumia strategies zote hizo kwnye sehemu moja? Au ni kuimaster mojawapo?
Umeeleweka mkuu.Angalau uwe na sababu 3 za kuingia trade,
Kwa mfano tuseme we ni trend trader na price imefika kwenye trend/support, hapo inabdi uangalie tena kama **** stop loss hurting imefanyika (idea ya Wychoff) - Compost Man, kama tayar basi utasubr price either itengeneze W/M katika lower time frame 1H - reverse pattern then unaenter..
Forex terminology ni nying sana...kwa mfano sisi wa ict hyo m na w tunaeza ita swing failure au liquidity run wengne wataita doble bottom au double top concepts ni ile ile moja...haya mambo ukianza lazima uchanganyikiwe ila mwsho wa siku utakuta hamna jipya ni maneno tu ya kukuchanganya[emoji3]Angalau uwe na sababu 3 za kuingia trade,