hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Ndio salary scale ya TRA ni nzuri zaidiWakufunzi Chuo cha Kodi wanalipa vizuri kuliko UDSM?
Sawa ntamshauri hivoAache tamaa! Akomae kwanza na hapo hapo! Mbona inawezekana kufanikiwa tuu. Kuna wengine hawajapata ajira bado asiwabanie nafasi.
Yes ana check number tayari ila kuna option ya yeye kuandika barua ya kuomba uhamisho…..hapo kwenye kumasta mara moja unamaanisha TRA??Bila shaka yuko kwenye Payroll ya Government
For Tutorial Assistant ni kuwa ataenda kumasta mara moja
Even though hapo alipo ana free nyingi za kufanya private issue zake.
Okay let's say ameenda interview akapata baada ya muda mfupi wakaingiza waarabu, je ajira itakuwepo ?
Anauliza kama ajiandae au aendelee na mambo yake mengine asije akazibia nafasi watu wengine incase akipataHuko tra ana uhakika wa kupata?
Sawa ahsante kwa ushauri 🙏🏾TRA kuna maokoto kibao mwambie aende TRA kule pesa unajiokotea tu hadi raha
Kwa UDSM si kweli hakuna huo free pale unamenyeka kisawa sawaBila shaka yuko kwenye Payroll ya Government
For Tutorial Assistant ni kuwa ataenda kumasta mara moja
Even though hapo alipo ana free nyingi za kufanya private issue zake.
Okay let's say ameenda interview akapata baada ya muda mfupi wakaingiza waarabu, je ajira itakuwepo ?
Haiko hivyo. Kwa njia unayoisema, alitakiwa tangu wakati anaomba ajira huko TRA, barua yake ipitishwe na mkuu wake wa idara.Yes ana check number tayari ila kuna option ya yeye kuandika barua ya kuomba uhamisho…..hapo kwenye kumasta mara moja unamaanisha TRA?
Hutaki aokote maokoto mkuu ?Kama ana malengo ya kuja kuwa prof, abaki UDSM; pia akiwa ni mtu wa kuandika na kutoa machapisho atafika mbali.
Hela zipo tu na tutaziacha, tupunguze tamaa.
Sasa mkuu hata atakapotoka ataacha gap la mtu mwingine kuajiriwa na hata akiamua apotezee, bado kuna mtu atakaepata na wengi watakaokosa.Aache tamaa! Akomae kwanza na hapo hapo! Mbona inawezekana kufanikiwa tuu. Kuna wengine hawajapata ajira bado asiwabanie nafasi.