Naomba ushauri kwa wale mliopo chuo.

Naomba ushauri kwa wale mliopo chuo.

Christafari

Senior Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
117
Reaction score
13
Nina div 3 ya 15 . .HGE. .nina E flat. . .bam f gs f. . . .je naweza pata chuo?, mkopo? Na kwa course gani?
 
Nina div 3 ya 15 . .HGE. .nina E flat. . .bam f gs f. . . .je naweza pata chuo?, mkopo? Na kwa course gani?

Chuo gani? Chuo cha ualimu? Chuo cha ufundi? (polytechnic) Chuo kikuu? (varsity)

Kama chuo kikuu, sidhani kama unaweza kupata nafasi.
Labda unaweza kupata kwenye polytechnic institute na chuo cha ualimu.
 
Tcu c wanataka principle mbili na cutn point mpaka 2.5 . .
 
unapata tu.sema ungefaulu bam ingekuwa poa kwa koz za biashara,lakn kama umefaulu hesabu o level unapata hata za biashara.lakn baadh ya vyuo.
 
O level nina c ya mathematics na english. . .vp ifm naweza pata corse gani?
 
pitia kitabu cha tcu utajua kila kitu
sent via Samsung galaxy S4
 
Back
Top Bottom