It was an organized crime waliotengeneza scenario ili kuvutia Uaminifu kwao. Sema hukugunduaHuyu sister Kwa jinsi nilivyompata ilikuwa anaamasisha watu wasimtumie mtu Fulani aliyekuwa anatapeli watu huko Tunduma akawa anadai hata nae anauza ila si Kwa Bei hizo. Basi nikamuona ni mtu mwaminifu, na akawa anadai huyo sister mwingine alikwenda kwake kama mteja na alipomtumia picha za vitenge basi akaanza kutapeli watu. Alikuwa anadai watu wasimtumie kwani yule ni tapeli. Ndipo kuona atakuwa salama nikamtumia yeye na Sasa Hadi Sasa hivi anazingua
Ni matapeli wanamtumia mwanamke ili kuongeza imani kwa watapeliwaNenda kituo Cha polisi toa gharam mtrack alipo, inawezekana hata kigoma hayupo! Hakuna biashara ngumu Kama ya mtandaoni hasa kwa mtu amabaye hujafika hata kuona ofisi yake!!. Kiufupi huyo hafanyi biashara hiyo ya vitenge n tapeli Kama walivyo CCM tu.
Ishu za Kigoma nimetapeliwa na mtoto wa ndugu yangu kabisaSalaam, Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo Kigoma anaweza kunifungia mzigo Kwa uaminifu mkubwa ila yeye hayuko Tunduma.
Basi, nikaanza mawasiliano nae nikampatia aina ya vitenge ninavyohitaji akasema angeliweza kunifungia mzigo ma kesho autume nilipo.
Nikamtumia Hela, tangu nimemtumia hajaniblock nikimpigia hapokei anafanya kutuma meseji tu, whassap anasoma meseji zangu hajibu, nikajaribisha kumtumia ujumbe na kujifanya Niko nahitaji vitenge kama mteja tofauti nilishangaa ananiambia kwann namtafuta kwenye Simu nyingine?
Je, inamaana hauzi bidhaa hizo?! Kwamaana kama angelikuwa anauza basi angeligundua ni mteja mpya. Kuna siku alinipigia Simu kuwa mzigo umeshatumwa ila Kuna tatizo nikamuuliza tatizo Gani?
Akadai mzigo huo umefungiwa na mzigo wa mteja wake ambaye hajalipia Kwaiyo nisubilie ampate ili tuchukue mzigo baada ya siku mbili nikamwambia anitumie namba ya mzigo wangu utakaokuwa umeongezeka nitalipia basi alikataa kunitumia akadai nimtumie Hela kwanza Kisha ndo anitumie namba ya mzigo!
Nikakataa, kesho yake ananiambia mzigo utarudishwa Kigoma ili atoe mzigo usiokuwa wangu Kisha autume tena!! Jaman ni wiki mbili Sasa natuma ujumbe kuuliza mzigo wangu ananijibu Kwa ukali kuwa nitulie atanitumia Hadi Sasa hajibu chochote!
Nilimtumia 262,000 naomba msaada kwanamna Gani naweza kupata haki yangu?
Anadai yeye sio tapeli lakn mpaka Sasa hivi nahisi hakuna Cha vitenge ila nahitaji nirudishie pesa yangu jamn[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Niende wapi nipate msaada ili akamatwe na arudishe Hela yangu maana vielelezo vyote vipo.
Msaada please!
Huyo wa mjini tu hapo,hana kitenge wala kanga na sio mwanamke.Ukute mwenzio yupo temeke tu hapo unahangaika kusema yupo kigoma.
Mzee amka usonge mbele. Imeisha hiyo mbona
Salaam, Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo Kigoma anaweza kunifungia mzigo Kwa uaminifu mkubwa ila yeye hayuko Tunduma.
Basi, nikaanza mawasiliano nae nikampatia aina ya vitenge ninavyohitaji akasema angeliweza kunifungia mzigo ma kesho autume nilipo.
Nikamtumia Hela, tangu nimemtumia hajaniblock nikimpigia hapokei anafanya kutuma meseji tu, whassap anasoma meseji zangu hajibu, nikajaribisha kumtumia ujumbe na kujifanya Niko nahitaji vitenge kama mteja tofauti nilishangaa ananiambia kwann namtafuta kwenye Simu nyingine?
Je, inamaana hauzi bidhaa hizo?! Kwamaana kama angelikuwa anauza basi angeligundua ni mteja mpya. Kuna siku alinipigia Simu kuwa mzigo umeshatumwa ila Kuna tatizo nikamuuliza tatizo Gani?
Akadai mzigo huo umefungiwa na mzigo wa mteja wake ambaye hajalipia Kwaiyo nisubilie ampate ili tuchukue mzigo baada ya siku mbili nikamwambia anitumie namba ya mzigo wangu utakaokuwa umeongezeka nitalipia basi alikataa kunitumia akadai nimtumie Hela kwanza Kisha ndo anitumie namba ya mzigo!
Nikakataa, kesho yake ananiambia mzigo utarudishwa Kigoma ili atoe mzigo usiokuwa wangu Kisha autume tena!! Jaman ni wiki mbili Sasa natuma ujumbe kuuliza mzigo wangu ananijibu Kwa ukali kuwa nitulie atanitumia Hadi Sasa hajibu chochote!
Nilimtumia 262,000 naomba msaada kwanamna Gani naweza kupata haki yangu?
Anadai yeye sio tapeli lakn mpaka Sasa hivi nahisi hakuna Cha vitenge ila nahitaji nirudishie pesa yangu jamn😭😭😭😭.
Niende wapi nipate msaada ili akamatwe na arudishe Hela yangu maana vielelezo vyote vipo.
Msaada please!
Mayasa mayasaAnaitwa nani?
Mayasa mayasaAnaitwa nani?
Unamwambia atume live location katika Whatsaap. Hiyo ni muhimu sanaKuna watu wa: Congo, Rwanda, Burundi na Kenya wanatumia Whatsapp na hawako maeneno wanayosema.
Kama usifanya biashara na mazungumzo kwa njia ya Whatsapp maana mtu anaweza kuwa Kiranyi akasema yupo Australia.
Kuna cse nyingi sana za vijana kanda ya ziwa, Tabora, washamba wa video, wanadanganywa kuna mizigo yao inatoka UK wanapigwa kila siku.
U cant, huwezi, pata hiyo hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kekundu!!, Kekundu!! Kekunduu!!....
Ilisikika kwaya moja...
Amekutapeli shingapYes! Nahisi kichwa kuuma wadau Hela ngumu, Kila evidence zipo Hadi sauti zake tulivyokuwa tukiwasilana meseji n.k nilimpatia Fb kwenye grup la Tunduma vitenge
262000Amekutapeli shingap
Sijamaliza kusoma.Salaam,
Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuhangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo Kigoma anaweza kunifungia mzigo Kwa uaminifu mkubwa ila yeye hayuko Tunduma.
Basi, nikaanza mawasiliano nae nikampatia aina ya vitenge ninavyohitaji akasema angeliweza kunifungia mzigo ma kesho autume nilipo.
Nikamtumia Hela, tangu nimemtumia hajaniblock nikimpigia hapokei anafanya kutuma meseji tu, whassap anasoma meseji zangu hajibu, nikajaribisha kumtumia ujumbe na kujifanya Niko nahitaji vitenge kama mteja tofauti nilishangaa ananiambia kwanini namtafuta kwenye Simu nyingine?
Je, inamaana hauzi bidhaa hizo?! Kwa maana kama angelikuwa anauza basi angeligundua ni mteja mpya. Kuna siku alinipigia Simu kuwa mzigo umeshatumwa ila Kuna tatizo nikamuuliza tatizo Gani?
Akadai mzigo huo umefungiwa na mzigo wa mteja wake ambaye hajalipia Kwaiyo nisubilie ampate ili tuchukue mzigo baada ya siku mbili nikamwambia anitumie namba ya mzigo wangu utakaokuwa umeongezeka nitalipia basi alikataa kunitumia akadai nimtumie Hela kwanza Kisha ndio anitumie namba ya mzigo!
Nikakataa, kesho yake ananiambia mzigo utarudishwa Kigoma ili atoe mzigo usiokuwa wangu Kisha autume tena!! Jamani ni wiki mbili Sasa natuma ujumbe kuuliza mzigo wangu ananijibu Kwa ukali kuwa nitulie atanitumia Hadi Sasa hajibu chochote!
Nilimtumia 262,000 naomba msaada kwa namna Gani naweza kupata haki yangu?
Anadai yeye sio tapeli lakini mpaka Sasa hivi nahisi hakuna cha vitenge ila nahitaji nirudishie pesa yangu jamani😭😭😭😭.
Niende wapi nipate msaada ili akamatwe na arudishe Hela yangu maana vielelezo vyote vipo.
Msaada please!