Naomba ushauri kwenye sakata hili

Naomba ushauri kwenye sakata hili

Tatizo munaiga maisha ya ulaya munaleta huku, hizo biashara za online kwa huku africa ni ngumu mno kila siku tunawaeleza ila munajifanya wasomi wajuaji kwahiyo endelea kuibiwa hivyohivyo...kuna ndugu yangu hapa mtwara alilizwa milion 9 tena yeye alimtumia mtu mwenye duka hapo kariakoo ambaye anafanya nae biashara tangu siku nyingi na wanajuana sura kabisa sembuse wewe ambae haumjui hata sura yake huyo tapeli wako....mimi niko mtwara laiti ungekuwa mzigo wa maana uliopigwa ningekuambia kama upo tayari tukubaliane kugawana pasu kwa pasu kwasababu hiyo kazi ndani ya siku 5 tu ungepata pesa yako na huyo mtu nae ungeletewa na nimekuambia ingekuwa pasu kwa pasu kwasababu pesa yote sio nitachukua mimi
 
Hizi biashara za mtandaoni ni kuwa nazo makini sana. Zimejaa matapeli wengi hususani instagram.
Kuna jamaa wanatangaza laptop kali kweli kwa bei ya kutupa,watafute sasa kama wana ofisi usipokua makini unatuma pesa.
 
Eva aliongea na nyoka na wakaelewana... ndo mbinu ya matapali wa sasa ivi kutumia wanawake.
 
Ukikaa vibaya... utapoteza hela kutafuta hela iliyokwisha potea mkuu
 
Back
Top Bottom