Tatizo munaiga maisha ya ulaya munaleta huku, hizo biashara za online kwa huku africa ni ngumu mno kila siku tunawaeleza ila munajifanya wasomi wajuaji kwahiyo endelea kuibiwa hivyohivyo...kuna ndugu yangu hapa mtwara alilizwa milion 9 tena yeye alimtumia mtu mwenye duka hapo kariakoo ambaye anafanya nae biashara tangu siku nyingi na wanajuana sura kabisa sembuse wewe ambae haumjui hata sura yake huyo tapeli wako....mimi niko mtwara laiti ungekuwa mzigo wa maana uliopigwa ningekuambia kama upo tayari tukubaliane kugawana pasu kwa pasu kwasababu hiyo kazi ndani ya siku 5 tu ungepata pesa yako na huyo mtu nae ungeletewa na nimekuambia ingekuwa pasu kwa pasu kwasababu pesa yote sio nitachukua mimi