Naomba ushauri mafuta ya kutumia sehemu za baridi

Naomba ushauri mafuta ya kutumia sehemu za baridi

We nawe huna akili
ungekuwa mtu mzima unaejielewa usingecomment upuuzi huo
inaonyesha ni jinsi gan hujafaidika na elimu yako ata ya kindergaten
mwendawazimu wew
Asante lakini nafikiri umeelimika sasa nini maana halisi ya mafuta ya K-Y
 
Kwani humu jf mbona kuna matabaka
mbona kila nikiuliza swali mimi huwa sijibiwi
na wapo wanaoview ila hakuna ata alietia neno
Mbona kutengana jamani....???[emoji22][emoji22][emoji22]
Vaselini nzito itakusaidia.
 
Hayo marufuku..wanatumia wale jamaa kulainisha njia
 
Kwani humu jf mbona kuna matabaka
mbona kila nikiuliza swali mimi huwa sijibiwi
na wapo wanaoview ila hakuna ata alietia neno
Mbona kutengana jamani....???[emoji22][emoji22][emoji22]
Mkuu umepanic sana,jaribu babycare ya Malawi iko vizuri ni nzito sana.

Note:usitumie babycare ya Bongo utanoa
 
Kuna mafuta yanaitwa JUAKALI na mamis ni mazuri alafu nafikiri yananunuliwa bei nzuri sh miambili tuu
 
1469959991170.jpg
 
We nawe huna akili
ungekuwa mtu mzima unaejielewa usingecomment upuuzi huo
inaonyesha ni jinsi gan hujafaidika na elimu yako ata ya kindergaten
mwendawazimu wew
Mkuu....
Hilo ndio jibu sahihi la KY JELLY [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kumbe haujui alafu unatokwa povu teehh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc: mshana Jr ebu pitia huku aiseeee [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahhahahaaaa nimeshapita nikaishia tu kucheka..! Pengine haya maandishi chini ya picha hajayasoma au pengine hakuelewa yana maana gani
1469960939155.jpg
 
Tumia "Asante Moproco" yatakung'arisha kama ulivyokusudia!
 
Back
Top Bottom