Naomba ushauri mapenzi yananitesa

Kubali tu uki chukua fresh utajiongeza ila kama ujachukua inauma sana
 
Lazma atakua watanga uyo....mapenzi yalipoanzia...
 
Hivi kumpenda sana mwanamke ndo nini?mbona mimi nimetembea na wanawake wengi sana lkn sijawahi kupata mwanamke wa kumpenda sana mpk akiniambia ujinga nashindwa kureact nakuwa zoba....mtu akiniambia anampenda sn mpenzi wake hata simuelewi ingawa mimi ni mzuri sana wa ku apriciat mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ila sijawah kumpenda mtu sn na sijui inatokeaje......
 
Seriously u need advice for this? Anyways kwa kuwa umri wenyewe ndo hivo acha waendelee kukushauri mimi nikitia neno ntakutukana tu bure!
 
Ushaur mzur,, mtu amejigeuz mnyama unaendlea nae wa nn?? hata km mapnz upofu,, huu sas ni ujinga…!!
 
Miaka 23 unalalamika hivyo we bado damu changa pambana... acha kufikir Sana mapenz tafuta pesa

Ulifanya makosa kuingia ktk uhusiano ambao ulikuwa ktk walakini
 
Kwa yanayoendelea duniani daah sijui lakin ngoja nkae kae kwanza maana unawezaoa pasipo
 


We kijana mwehu unataka nini zaidi ya onyo kama hili....demu kawa used na wanawake wa namna hii si wa kuwaoa.....hawa ni ile sampuli ya kula na kuacha ili wengine waje kumwaga oil na kumchosha demu. Akili zikimjia ndipo atakumbuka kuwa alichezea maisha when she's 70 yrs old. Achana naye huyo, atakulostisha bure.
 
Asante sana kwa ushauri kk
 
Pole sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…