Naomba ushauri mapenzi yananitesa

Naomba ushauri mapenzi yananitesa

mapenzi bwana ,yani mpaka hapo umeshindwa kujua mpenzi wako ni wa aina gani?na umeshindwa kujua kuwa huyo hafai hata kidogo?hujui kama anakupeleka motoni maana hiyo tabia ukianza ndo umeanza ni kama madawa ya kulevya?by ze way wewe bado mdogo kuchukua zigo kama hilo
Asante sana ushauri mzur be blessed
 
Ole wake atakae mgeuza mwenzie kinyume na maumbile sitomsamehe ni heri ya yule alie lala na mama yake mzaz NITAMSAHEEE

Achana nae huyo sio mwanamke wa kuoa
 
ni vyema amefunguka wakati kama hamjafunga ndoa au hata kuendeleza mipango yoyote..hivyo unafaa kushukuru kwa kulijua hilo mapema..mwachie atoke zake utampata anayekufaa...usijitie chachu bw mdogo
 
Hizo hizo mkuu zinakutosha na kukusaidia. Za kibashiteism nazo nomaaa. Naona hata wengine wamepata advantage kwa hizo[emoji85]
Ila zinasaidia naweza nkavuka hata mataa ya ubungo bila msaada, japo nimekulia kolomije.
 
Kijana anacha nae hana akili na ni mpuuzzii..acha atafute wapuuzi wenzake..
 
ni vyema amefunguka wakati kama hamjafunga ndoa au hata kuendeleza mipango yoyote..hivyo unafaa kushukuru kwa kulijua hilo mapema..mwachie atoke zake utampata anayekufaa...usijitie chachu bw mdogo
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom