Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuua na utakufa ... rudi kwako harakaUnasema bora waniue !!!!!???
Maana yako nini
Wataniua halafu baadaye nitakufa,Watakuua na utakufa ... rudi kwako haraka
DNA ya Nini na wewe! Watoto washaonyesha wako upande wa mama yao aachane nao!! Kwanza si ana watoto wengineMkuu unazikwepa quote zangu, usishupaze shingo. Kapime DNA, au fanya hata vipimo vya kiasili ujue uhalisi wa hao watoto, mara ya nne hii narudia.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Sasa hivi kwenye Ile nyumba yako anaishi huyu bi mdogo wakati huu kesi ikiwa mahakamani???Wataniua halafu baadaye nitakufa,
Au mimi ndio sielewi,
Lakini mbona nimesharudi nyumbani muda mwingi, kama unafuatilia nimeacha kwenda kwake toka mwezi wa 9 mwaka jana, sasa tupo mahakamani
Huyu nae kitamkuta kitu
Yeah upo sahihi,japo uzi ni wa muda lakini bado kuna funzo hapa kwa vijana,baada ya mwitore kutonywa na yule jamaa kuhusu manunuzi ya siri ya mchepuko,alipaswa kusitisha uingizwaji wa hela za mauzo ya nyumba kwenye account ya mchepuko mara moja na kuamua kumuacha huyo mwanamke,lakini angeendelea kuwatunza watoto wake kama alivyokuwa anafanya mwanzoSemeni nyie tukisema sisi mnasema tunamuonea
Hivi unawezaje kumpa tena 30m jamaniiii mbona nimetamani kutoa chozi
Huyu baba alikuwa under madawa sio kawaida[emoji19][emoji19]
Mzee vipi hali yako, unalisogeshaje boli hili kwa sasaUnasema bora waniue !!!!!???
Maana yako nini