Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Watakuua na utakufa ... rudi kwako haraka
Wataniua halafu baadaye nitakufa,
Au mimi ndio sielewi,

Lakini mbona nimesharudi nyumbani muda mwingi, kama unafuatilia nimeacha kwenda kwake toka mwezi wa 9 mwaka jana, sasa tupo mahakamani
 
Mkuu unazikwepa quote zangu, usishupaze shingo. Kapime DNA, au fanya hata vipimo vya kiasili ujue uhalisi wa hao watoto, mara ya nne hii narudia.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
DNA ya Nini na wewe! Watoto washaonyesha wako upande wa mama yao aachane nao!! Kwanza si ana watoto wengine
 
Wataniua halafu baadaye nitakufa,
Au mimi ndio sielewi,

Lakini mbona nimesharudi nyumbani muda mwingi, kama unafuatilia nimeacha kwenda kwake toka mwezi wa 9 mwaka jana, sasa tupo mahakamani
Kwa hiyo Sasa hivi kwenye Ile nyumba yako anaishi huyu bi mdogo wakati huu kesi ikiwa mahakamani???
 
Hii uzi bado upo hi!
Mzee Baba bado unahangaika na nyumba mdogo yako? Kamwe nyumba ndogo huwa haitoshi mpaka urudi nyumba kubwa.
 
Semeni nyie tukisema sisi mnasema tunamuonea
Hivi unawezaje kumpa tena 30m jamaniiii mbona nimetamani kutoa chozi
Huyu baba alikuwa under madawa sio kawaida[emoji19][emoji19]
Yeah upo sahihi,japo uzi ni wa muda lakini bado kuna funzo hapa kwa vijana,baada ya mwitore kutonywa na yule jamaa kuhusu manunuzi ya siri ya mchepuko,alipaswa kusitisha uingizwaji wa hela za mauzo ya nyumba kwenye account ya mchepuko mara moja na kuamua kumuacha huyo mwanamke,lakini angeendelea kuwatunza watoto wake kama alivyokuwa anafanya mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…