Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Fanya haraka uoe kabla wajanja hawajambeba bro!!!Duh mkuu kweli unasema au unanitakia majanga yanipate mnk Nina mmoja anaitwa J......tweve namfikiria lkn huwa namuogopa mnk nae anapesa balaa na Bado hajaolewa na huwa namuogopa mno nahisi asije kuwa Ni wale wale tu wa kutoa kafara am scared u know[emoji23]
Huyo akikuchit ujue wewe ndo umezingua sio sababu ya njaa za pesa.
Na kingine hata ukifa watoto wako wako mikono salama, watasoma na watakuwa na urithi kifupi hawatoyumba kimaisha km hao pichu mkononi.
Wakinga hatuamini kwenye kuhongwa au pesa za mume 😜