Naomba ushauri: Mimi nafanya biashara na Wakinga je, nichukue tahadhari gani?

Fanya haraka uoe kabla wajanja hawajambeba bro!!!
Huyo akikuchit ujue wewe ndo umezingua sio sababu ya njaa za pesa.
Na kingine hata ukifa watoto wako wako mikono salama, watasoma na watakuwa na urithi kifupi hawatoyumba kimaisha km hao pichu mkononi.
Wakinga hatuamini kwenye kuhongwa au pesa za mume 😜
 
UAMINIFU ndio bidhaa ADIMU sana kuipata siku hizi.

Zingatia UAMINIFU usianze leta uhuni watu wakikuamini kwa kazi na biashara.

Utakaribisha nguvu hasi.
 
Mimi ninawashauri wakinga wawe makini na mtu mpumbavu kama wewe. Mtu ambaye umeaminika hadi kukopeshwa mzigo wa noti ndefu lakini bado unahisi unataka kutapeliwa na kulogwa... jinga kabisa. Watu kama nyie ndo mnafanya maendeleo yasiwepo.
[emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…