Naomba ushauri, Mimi nimgeni kwenye kilimo cha kahawa

W

Ngoja waje watu wa huo ukanda wakupe ABC

Mimi nilijua utakuwa hayo maeneo ili nikupe ABC

Ila Kwa sasa zipo Mbegu nzuri zinazochukua muda mfupi kuanza kutoa kahawa .

Kuna wakulima hapa naimani utapata Muongozo mzuri sana
Hapana kaka hata wewe unaweza kunipa dondo kadha kwa mfano,mbegu nzuri,aina ya mbolea ya kukuzia nk.
 
Nitakupatia namba ya Mkulima ambayo utawasiliana nae Kwa ajili ya kupata Ushauri mbali mbali kuhusu kilimo cha kahawa na mambo mbali mbali..
 
Nashukuru kaka Kwa msaada
 
Mimi sio mtaalamu wa kahawa.

Ila Songwe upo sehemu sahihi pia itakuwa njema kama utapata mashamba ambayo yana udongo kama mfinyanzi ule ambayo kule ikuti wanapanda nanasi.

Maana huo udongo hauruhusu kahawa kuwa na matawi mengi (MSITU) kuliko matunda.

Pia wakulima wanadai ni udongo ambao unatoa kahawa nzito.

Ila ni udongo pia ambao unahitaji uwe nao karibu mno hasa kahawa ikiwa ndogo.🙏SINA MENGI😁
 
Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom