Nyatyo
Member
- Sep 21, 2017
- 89
- 78
Habari wakuu jamani hapa ni ushauri wa kujenga tu ndio unahitajika.
Wakuu, mimi nimeoa nampenda sana mkewangu lakini hapa juzi kati nilichepuka na sikutumia kinga maana niliechepuka nae ni mtu wangu wa siku nyingi tu na ndio michezo yetu hio sasa kiukwel baada ya siku kupita nilianza kupata maumivu kwenye dudu hasa wakati wa kukojoa.
Nikajua UTI nikameza dawa za UTI lkn kadri siku zinavoenda naona hali inazidi kubadilika. Nikawa natoka vipele Halafu dudu inakua kama inawasha vile sometimes kama inawaka moto.
Sasa maumivu yanazidi na mke wangu anaonekana kabisa anataka kupelekewa moto lakini nashindwa maana naumwa na nimemficha maana akijua naogopa itakua kesi.
Nimemuliza yule mchepuko kama yeye anaumwa anasema yeye yupo fiti tu. Ikabidi niende Hosptal kupima inaonekana nina ugonjwa wa zinaa[emoji2296] na nimepewa dawa za kutumia wiki 2 na nimeambiwa nisifanye tendo hadi nimalize dawa sasa nawaza hizo wiki 2 zote nitasingizia nini Mke wangu ili anielewe maana ishapita wiki sasa sijashiriki nae na kuna mda anajiweka tayari kabisa kwa shoo mimi nachomoa nimepata tabu kwa hio wiki 1 sasa doctor kasema wiki 2 na nimemaliza visingizio vyote nipeni mbinu Wakuu.