Naomba ushauri mke wangu ameanza kunidharau

Naomba ushauri mke wangu ameanza kunidharau

Bro kwanza nikupe pole kwa kuumwa ugonjwa wa zinaa.
Huyo manzi ako wa kando anaugua maradhi, tena maradhi sugu, na huyo ni carrier wa huo ugonjwa, anasambaza wakati mwenyewe haumwi, mwambie haraka sana aende hospital kupima na kutibiwa, usimuonee aibu mchane ana ugonjwa wa zinaa. Achana naye hata kwa condom usipige naye show Mpaka akatibiwe.

Kuhusu mkeo fanya hivi, mwambie umepima hospitali baada ya kuona mkojo wako mchafu umekutwa na UTI kali sana na umeandikiwa dozi za kutumia wiki nzima, nenda Pharmacy kanunue Azuma au dawa zozote ujifanye ndio dozi uliyopewa, usimuonyeshe hayo madawa unayotumia asije akajua una gono.
La mwisho jitahidi kuwa mwaminifu kwenye ndoa yako ingawa ni ngumu basi tumia kinga, it helps alot.

Sante mkuu pamoja
 
Back
Top Bottom