Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo mengi kicwan had mengin nayasahau kaka kama. hilo nikua nishasahau[emoji4] [emoji4] [emoji4] asant kwa hiloMzee unatuangusha ! Mtoto wa kike kubebembelezwa, na nafanya hayo ili umpeti mpeti nae ajione kua anathaminiwa na kupendwa... Hapo hakuna tatizo, huenda tatizo ukawa wewe haujui mtoto anataka kubembelezwa. Mtoto wa kike kama mtoto mchanga 🙄
mambo mengi kicwan had mengin nayasahau kaka kama. hilo nikua nishasahau[emoji4] [emoji4] [emoji4] asant kwa hilo
Dawa ya moto ni moto,,,akinuna na wewe nuna tu hata ikipita mwezi bado kanuna na wewe endelea kununa hadi ajishushe aanze yeye kuchekaHabari za hizi saizi wanajamvi,
Naombeni ushauri,
Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe.
So what can i do as an advice my fellow brothers, sisters hua nauzika kichizi.
You make my day [emoji7] [emoji8] ,yaani umenichekesha sina mbavu,ni kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hasira nyingii za wanawake husababishwa na genye, hebu mkunje kisawa sawa halafu uone kama hiyo hali itajirudia....
Pengine hujamwelewa bado ila ni limbwata at work.Aliyekuweka moyoni hawezi kukuletea mbwembwe kiasi hicho.Kuna kiwango cha kudeka.Kikizidi chunguza.Inawezekana kuna mtu mwingine anayempa kiburi na kwasasa hainjoi tena kutoka nawe ila unamlazimisha tu.Kumjua vizuri mtoto wa kike ni sawa na kujua lugha za wanyama!Mie mwenyewe nilipataga shida sana kumuelewa wangu, wakati mwingine hata barabarani alikua anazingua, sasa na mie nilikua namzingua kwekweli hadi anajuta, but baada ya kumsoma vizuri na kumuelewa, sasa hivi hakuna shida tena. Nina mlea kama mtoto mchanga, wakati mwingine kuwasha jiko tena la gesi hadi mie nikawashe, nisipo enda kumsaidia analia au kunuanaa .... but maisha matamu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ,Ana umri gani? Na wewe ukirudi nuna kuwa huta do nae tena mpaka ajirekebishe.
Pengine hujamwelewa bado ila ni limbwata at work.Aliyekuweka moyoni hawezi kukuletea mbwembwe kiasi hicho.Kuna kiwango cha kudeka.Kikizidi chunguza.Inawezekana kuna mtu mwingine anayempa kiburi na kwasasa hainjoi tena kutoka nawe ila unamlazimisha tu.Kumjua vizuri mtoto wa kike ni sawa na kujua lugha za wanyama!