Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

Tupa Tupa

Senior Member
Joined
Jun 2, 2019
Posts
140
Reaction score
107
Habari wakuu

Ushauri wenu tafadhali, hii imekuwa ikinitokea kama mara yatatu mfululizo lakini leo saa nne asubuhi nimepitiwa usingizi kidogo kitandani nimejikuta naanza kuota vitu vya kutisha na watu wanamkimbia huyo mtu mimi amenikamata, mara nimeshtuka mwili wote hakuna kinachofanya nabaki kuangalia tu mpaka dakika 1 au 1:30 ndio fahamu zaviungo zimerudi.
sijui ni tatizo gani, ushauri wenu.

Asanteni
 
Kwanza acha kula maugali mingi

Je nenda ukapimwe hospital inawezakuwa wameshakufanya mambo tayari wachawi
 
Kwanza acha kula maugali mingi

Je nenda ukapimwe hospital inawezakuwa wameshakufanya mambo tayari wachawi
kwa ugar hiyo kitu nna siku ya nne sijatumia lakin inawezekana nkapime iyo kitu uliyonshauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…