Tupa Tupa
Senior Member
- Jun 2, 2019
- 140
- 107
Habari wakuu
Ushauri wenu tafadhali, hii imekuwa ikinitokea kama mara yatatu mfululizo lakini leo saa nne asubuhi nimepitiwa usingizi kidogo kitandani nimejikuta naanza kuota vitu vya kutisha na watu wanamkimbia huyo mtu mimi amenikamata, mara nimeshtuka mwili wote hakuna kinachofanya nabaki kuangalia tu mpaka dakika 1 au 1:30 ndio fahamu zaviungo zimerudi.
sijui ni tatizo gani, ushauri wenu.
Asanteni