HIVYO NI VITISHOO TUUNife mara ngap ?
Nenda kapime... Mengine utayajua baada ya vipimo. Hakuna ugonjwa wenye umri. Ugonjwa humpata yeyote.kisukali miaka 20 mkuu
Ndio yenyewe mkuu, nadhani atakuwa analalaga kwa mgongo and pia huenda halali muda mrefu 6-8 hours, sometimes stress pia inachangia. Akiweka ratiba yake ya kulala vizuri atakua pouwa, na pia asilale kwa mgongoMshana Jr Hii sio Sleep Paralysis Kweli?
amesema ana kunywa mkuuWickson unakunywa pombe!??
alafu muachie Mungu.Alafu??
Acha basi.. Ishakuathiri ubongo.Nakunywa mkuu lakin natumia spirit tu.
Poa.daaah sawa mkuu nmekuelewa