Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

Ndio yenyewe mkuu, nadhani atakuwa analalaga kwa mgongo and pia huenda halali muda mrefu 6-8 hours, sometimes stress pia inachangia. Akiweka ratiba yake ya kulala vizuri atakua pouwa, na pia asilale kwa mgongo
sawa mkuu
 
NAKUSHAURI UFANYE TIBA MBADALA YA CHUMVI, KUOGA MAJI YENYE YA MAWE! MSHANA JR. ALINIFUNZA HIVI TANGU HADI SASA SIJAWAHI OTA TENA NDOTO ZA KUTISHA.

NDOTO ZANGU ZILIKUWA HATARI SANA, ZA KWAKO ZINASUBIRI KAKA! NILIPOFANYA HIVYO HAYO MAUZA MAUZA YAMETOWEKA KABISA NI MIEZI 8 SASA NAISHI MAISHA YA FURAHA BILA HUZUNI!

PEPO WACHAFU WANAKUANDAMA!
 
Back
Top Bottom