Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

Kumbe bei ya kawaida sana mimi nilizani bei ni kubwa sana. Asante
Zinatofautiana kulingana na aina za bati unazotaka, kama izo nilizochukua gauge 28 bati moja la futi10 ni elfu 46 na point.
 
Back
Top Bottom